Msaada nashindwa kufuta account ya Facebook

Msaada nashindwa kufuta account ya Facebook

Ila option ya kudeactivate FB ipo:

1. Fungua Facebook App au desktop.
2. Juu kulia utaona profile picture ibonyeze.
3. Shuka chini hadi Setting & privacy.
4. Bonyeza Personal and account information.
5. Kisha Account ownership and control.
6. Kisha bonyeza Deactivation and deletion.
7. Kisha Deactivate Account,
8. Alafu bonyeza Continue to account deactivation hapo utafuata maelekezo madogo kama kuweka password etc.

9. Confirm.
Akiweza hivyo ..atakua noma sana
 
morning lovely 😍

naombeni mnisaidie nataka kufuta account ya Facebook nilijiunga kipindi bado mdogo sasa inanikwaza nataka kufuta nimeacha kutumia na miaka sasa lakini notification zinakuja hii kitu inanikwaza just help me please 🙏 😢
Uninstall na usiitumie kabisa. Facebook watajua umesepa wataifuta wenyewe
 
Kama kero notifications si uninstall App?
Inawezekana aliunga na e-mail, notifications zote zinaenda kwenye e-mail na akaunti yake ya Facebook. Inakera ila angeamua ku-unsubscribe kwenye e-mail, uki-unistall bado notifications zitakuja kwenye e-mail!
 
Back
Top Bottom