Akiweza hivyo ..atakua noma sanaIla option ya kudeactivate FB ipo:
1. Fungua Facebook App au desktop.
2. Juu kulia utaona profile picture ibonyeze.
3. Shuka chini hadi Setting & privacy.
4. Bonyeza Personal and account information.
5. Kisha Account ownership and control.
6. Kisha bonyeza Deactivation and deletion.
7. Kisha Deactivate Account,
8. Alafu bonyeza Continue to account deactivation hapo utafuata maelekezo madogo kama kuweka password etc.
9. Confirm.
Acha bhana njoo tukimbie pamoja safari ya raundi 3 hapa chap chap ππkukimbia
Uninstall na usiitumie kabisa. Facebook watajua umesepa wataifuta wenyewemorning lovely π
naombeni mnisaidie nataka kufuta account ya Facebook nilijiunga kipindi bado mdogo sasa inanikwaza nataka kufuta nimeacha kutumia na miaka sasa lakini notification zinakuja hii kitu inanikwaza just help me please π π’
Akii-unstall app inamaana hadi hiyo anayotaka kuendelea kuitumia,hataweza.Kama kero notifications si uninstall App?
Engagement ya Facebook ni kubwa mno, I 'm sorry to hear that you are leaving for good! ππhapana mtandao naona una watoto wengi now hapana
Inawezekana aliunga na e-mail, notifications zote zinaenda kwenye e-mail na akaunti yake ya Facebook. Inakera ila angeamua ku-unsubscribe kwenye e-mail, uki-unistall bado notifications zitakuja kwenye e-mail!Kama kero notifications si uninstall App?