Msaada: Nashindwa kuhimili tendo kwa muda mrefu

Msaada: Nashindwa kuhimili tendo kwa muda mrefu

Asante kak
Wewe hauna tatizo, ila ni experience tu ndo hauna kama ilivotanhuliwa kusemwa hapo juu

Ni kawaida kila mvulana/mwanaume anapo anza kuingia kwenye tendo hua anadharaulika kwa kua anashindwa kuhimili joto la tendo na kujikuta akimwaga haraka,

Utakapo endelea kushiriki tendo kwa mara kadhaa kadhaa utajikuta unahimili kwa muda mrefu sana wote sisi tumepitia io changamoto ya kudharaulika kwa wenza wetu
Asant kak
 
Jamn siku ya leo nimeshindwa kufanya tendo nikiingia kidogo kwenye uke namwaga mapema. Mwanzoni nilikuwa muhanga wa punyeto lakin nimeacha kwa muda mrefu kidogo ila sasa nashindwa kufanya tendo.

Pia niña miaka ipatayo miwil sijafanya tendo ila leo nikajua ntakuwa flexible kushiriki lakini imeshindikana but nikiwa mwenyewa nasimamisha vizur ila nikiwa na demu basi hisia zinakuwa kali namwaga mapema.

Msaada wanakikundi. Pia napokuw mwenyew nikisimamisha chuma ikilala tu mshipa unanishika dah msaadaa.😟😟😟😟
Nikawaida mbona!!

Mpiga nyeto akikutana na nwanamke mambo huwa hayaendi!!
Kutana nae tena na tena na tena bila kufanya nyeto apo utaona umekua sawa
 
Niña hofu kubw moyn mwang yn moy unaend kas mpak DM alijuw ananiuliza mbn moy unakimbia nauxkia
Kawaida mzee niamini mm kawaida

mtu aliyezoea ngono binafsi ngono ya wawili humshinda!!

Achana na punyeto kua kwene mahusiano hata kama hamfanyi mara kwa mara inakupa committment ya kumuwaza na kutojichua utakua frsh
 
Hujanjunja kwa muda wa miaka 2, lazima kichupa kiwe kimejaa.

Tafuta pisi tena, chapana nae mara mbili au tatu kama bado uko hivyo basi hapo ndio ujue tatizo lipo.

Usipanick kwa hiyo mara moja tu.

Ukishindwa kabisa basi jipe moyo kua kinachotakiwa ni wewe kutoa wazungu tuu.
Hizo dakika nyingi no mbwembwe tu.
 
Back
Top Bottom