Msaada: Nashindwa kuhimili tendo kwa muda mrefu

Asante kak
Asant kak
 
Nikawaida mbona!!

Mpiga nyeto akikutana na nwanamke mambo huwa hayaendi!!
Kutana nae tena na tena na tena bila kufanya nyeto apo utaona umekua sawa
 
Niña hofu kubw moyn mwang yn moy unaend kas mpak DM alijuw ananiuliza mbn moy unakimbia nauxkia
Kawaida mzee niamini mm kawaida

mtu aliyezoea ngono binafsi ngono ya wawili humshinda!!

Achana na punyeto kua kwene mahusiano hata kama hamfanyi mara kwa mara inakupa committment ya kumuwaza na kutojichua utakua frsh
 
Hujanjunja kwa muda wa miaka 2, lazima kichupa kiwe kimejaa.

Tafuta pisi tena, chapana nae mara mbili au tatu kama bado uko hivyo basi hapo ndio ujue tatizo lipo.

Usipanick kwa hiyo mara moja tu.

Ukishindwa kabisa basi jipe moyo kua kinachotakiwa ni wewe kutoa wazungu tuu.
Hizo dakika nyingi no mbwembwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…