Msaada: Nasumbuliwa na michubuko kwenye ngozi ya korodani

Msaada: Nasumbuliwa na michubuko kwenye ngozi ya korodani

Kama unatumia majichumvi kuoga badilisha tumia ya bomba.
 
usitumie maji ya kwenye vidimbwi kuogea, usivae boksa za material ya tetron vaa pensi au boksa za pamba.

Paka mafuta ya mgando palipoharibika baada ya kuoga. Ukioga zikaushe vizuri, taulo liache nje lipigwe jua.
 
Back
Top Bottom