Msaada: Nasumbuliwa na tatizo la moyo

Naye moyo ulitanuka au Kuna something else
Alikuwa anahisi maumivu na mapigo ya moyo yanaenda resi sana mpak kichwa kinamuuma sometimes akaambiwa afanyiwe operation siku mbili kabla akfariki kufikia hyo trh ya operation

Ila alikuwa sio wa kitandani anafanya shuguli zake kama kawa
 
Alikuwa anahisi maumivu na mapigo ya moyo yanaenda resi sana mpak kichwa kinamuuma sometimes akaambiwa afanyiwe operation siku mbili kabla akfariki kufikia hyo trh ya operation

Ila alikuwa sio wa kitandani anafanya shuguli zake kama kawa
Magonjwa ya moyo Ni mengi Sana, mpaka kichwa kuuma alikuwa na tatizo ambalo Ni beyond na hearts,, cardiovascular diseases nyingi hakuna headache
 
Ndioo.yanakuwa Kama mrenda.
Mimi nina kilo 80+ .moyo ulianza huo ujinga wa kuuma uma bila Sababu na kuna wakati mapigo ya moyo yanakwenda kasi Sana kipindi nikiwa na hasira naona Kama kuna donge limekaa kifuani.
Nilipopiga hyo kwisha kabisaa
Kutafuna yakiwa mabichi?
 
Unasumbuwaliwa Na panic atack

Hilo tatizo limeshanipata Mimi

Na kizuri zaidi uo sio ugonjwa apana Bali Na matatizo ya saikolojia tu

Mtu unafikiri kuwa ni mgonjwa kumbe wapi
Ebu nipe msaada
 
Ndioo.yanakuwa Kama mrenda.
Mimi nina kilo 80+ .moyo ulianza huo ujinga wa kuuma uma bila Sababu na kuna wakati mapigo ya moyo yanakwenda kasi Sana kipindi nikiwa na hasira naona Kama kuna donge limekaa kifuani.
Nilipopiga hyo kwisha kabisaa
Sawa mkuu
 
Pole sana mkuu. Jitahidi kwenye chakula, punguza mafuta na wanga, jitahidi upate protein. Anza tartaibu mazoez mepes kama kutembea tu. Kuhusu suala la mapenzi, ongea na mwenzako akuelewe unachopitia ili muende taratiibu while you are still recovering.
Najua hali ni ngumu, lakini jitahidi ujichange change mdogo mdogo ufikishe hata laki mbilo ukakate bima NHIf. Hii ni muhimu maana shida ya moyo itachukua muda kuisha so ni vyema uwe na backup ya hiyo bima.
Mwisho wa yote Mungu akujaalie uzima.
 
Pole Sana ..Mungu asiyeshindwa na kitu akakuonekanie na kukuinulia watu wa kukusaidia..(isaya 43:4)..na kukupa kibali Cha kupona maradhi yako na kila uombalo..Amen
 

Maamuzi ya tiba ipi utumie yanahitaji umakini mkubwa sana na tahadhali. Ni vyema kufanya matibabu yenye ushahidi/evidence na wenye kujiridhisha na njia za tiba. Ni vyema kupata vipimo mara moja kwa mwaka kuangalia maendeleo yako.

Pia, ni vyema kwa ushirikiano na daktari bingwa kujua chanzo cha LVH ili kuweza kuendelea kushughulikia hilo pia. Kwani bila kufanyia kazi hali inaweza kuendelea kutokuwa vyema.

Ni vyema pia kujua mambo ambayo ukifanya yanaongeza tatizo zaidi DO vs DON'T. ie. Stress, mazoezi magumu, matumizi ya kahawa, coca, redbull, pepsi, njaa kali, kutokunywa maji ya kutosha.

Suala la imani ni muhimu katika tiba, lakini pia katika kukupa utulivu wa akili moyo na mwili. Mwenyezi Mungu akutangulie na kukusimamia katika yote.

NB: Fanya close follow-up na cardiologist au physician aliyekaribu nawe na unaweza kupata vipimo pia kutoka sehemu tofauti kwaajili ya reference zako na maendeleo pia.
 
Nilipokuwa naumwa sana, nilikaa ndani bila kutembea, yaani ATA nkinyanyua ndoo ndogo ya maji ilikuwa shida, mkono wa kushoto ATA kunyanyua kikombe nilikuwa siwezi, kutembea umbali nisingeweza, now at least nime recover naweza tembea umbali mrefu, bila shida, Ila nkijifanya nakimbia au any physical activity ndo siwezi,afu mkono wa kushoto ndo bado
 
Mkuu protein Kama nyama, mayai, maziwa si hatar kwa moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…