Msaada: Nasumbuliwa na tatizo la moyo

Msaada: Nasumbuliwa na tatizo la moyo

Pole sana kesho nenda hospital kapime kipimo cha H. PYLORI majibu yakiwa negative nitakurudishia hela yako ya nauli
 
Huli
Unasumbuwaliwa Na panic atack

Hilo tatizo limeshanipata Mimi

Na kizuri zaidi uo sio ugonjwa apana Bali Na matatizo ya saikolojia tu

Mtu unafikiri kuwa ni mgonjwa kumbe wapi
Hili ndio tatizo langu la kupanik na kuwaza mawazo mabaya tu au vitu vibaya vitanitokea
 
Hili tatizo lako linatibika kabisa ila Kwa Mimi kuweza kupata hii dawa umekua mtihani kidogo kutokana na uwadimu wa hii dawa {Huwa Kuna baadhi ya dawa naagiza na ninaye muagiza ni mzee na hatumiagi simu kabisa Sasa mpaka kuonana naye yaweza pita miezi hata sita} nikifanikiwa nitakujuza. Stay strong
 
Pole sana mkuu,usikate tamaa. Hakikisha umeenda Jakaya Kikwete pale,kuna jamaangu mama yake alifanyiwa operation ya moyo 2021 na sasa ni mzima wa afya

Usiogope,Mungu yupo. Tuendelee kupambana
 
Hili tatizo lako linatibika kabisa ila Kwa Mimi kuweza kupata hii dawa umekua mtihani kidogo kutokana na uwadimu wa hii dawa {Huwa Kuna baadhi ya dawa naagiza na ninaye muagiza ni mzee na hatumiagi simu kabisa Sasa mpaka kuonana naye yaweza pita miezi hata sita} nikifanikiwa nitakujuza. Stay strong
Ukimpata nami nijuze mkuu
 
Back
Top Bottom