Msaada: Nasumbuliwa na tatizo la moyo

Pole sana mkuu! vp tiba mbadala zilikusaidia mkuu?
 


Updates now ni 2024.

Nimepona tatizo la moyo. Nilitibiwa na Mbaba mmoja kutoka Missenyi Kagera. Nilitumia dawa ya kienyeji. Kwa wanaoumwa moyo never give up 💪
 
Mkuu Nina ndugu yangu wa damu ana matatizo Kam haya naomba kujua dawa za kienyeji ulizo tumia mkuu samahani lakini.
HOpe ndugu Yako anaendelea poa,mie nilipona completely
 
Fanya haraka uende Jakaya Heart Institute, pale Muhimbili, pale kuna mabingwa wa moyo wa kusifika na vipimo vya moyo vya kila namna, vya kisasa kabisa.
 
Pole Mkuu ikiwa dawa ulizotumia zimewaponyesha watu wengi basi utakuwa una uchawi mwilini mwako aka nguvu ya giza ndio inayo kusumbuwa usipate kupona maradhi yako nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Pole Mkuu ikiwa dawa ulizotumia zimewaponyesha watu wengi basi utakuwa una uchawi mwilini mwako aka nguvu ya giza ndio inayo kusumbuwa usipate kupona maradhi yako nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
Wajinga ndiyo waliwao.
 
Kuna mwamba mmoja humu aliamza hivi hivi,miwsho wa siku akaanzisha Uzi wa kutuaga.(Natania)

Pole sana ndugu usikate tamaa, kumbuka ugonjwa huingia mara moja ila kutoka huchukua muda sana(km ilivyo rahisi kubomoa na shida kujenga), jipe muda ila endelea kutafuta tiba.
 
H
Aaaa nilipona mkuu, angalia updates ya uzi
 
Baba yangu alipata tatizo la moyo kutanuka mwaka 2015, alikuwa anashindwa kutembea na wakati mwingine pumzi ilikuwa inakata akiomgea. Alitibiwa hospital ya TPC baada ya kupata vipimo Mawenzi. Alipona kabisa. Mpaka Leo,Yuko vizuri na anaendelea na maisha
 
Myocardial hypertrophy ipo ambayo ni temporary,,moyo kutanuka unatibuwa vizur tu,,mie niliona Kwa dawa ya kienyeji,,baada ya kusumbuka Muda mrefu
 

Pole sana ndugu , amini kila jambo lina mlango wa kutokea

Katika tiba yoyote ukiona unatumia dawa muda mrefu na huponi ujue sio dawa sahihi kwa aina ya tatizo lako , yaweza kuwa wengine walipona , lakini afya hutegemea mambo mengi kama Uwezo wa mwili , muda wa tatizo na ukubwa wake na pia athari katika Mifumo mingine , ndio maana Kwa kampuni kubwa kama ya kwetu ya tiba asili mfumo wetu wa Matibabu upo kwenye Kanuni ya mtu mmoja mmoja yaani ( Individualised formula)

Same problem , different geographical location, different body functions, time of the problem existence and the age .

So kuzingatia hilo , tiba haiwezi kuwa aina moja , mgonjwa hataweza pona ( Single treatment formula ) sio sawa

Ndio maana sisi tunasikiliza mwili unasemaje maana dalili mwili huonesha ndio haswa tatizo lililopo !

MOYO & UTUMBO MWEMBAMBA / HEART & SMALL INTESTINE SYSTEM ( HS )
By
Heshoutang Natural Health System or Xianhe International; Knowledge:

HS controls awareness of human being, dominates Joy / Laugh ( too much laugh will hurt your HS

HS controls blood flow & blood circulation of human body ,
This system is connected with Sleep, Face and Tongue

Hivyo basi ili mfumo wa Moyo kuwa na afya njema unahitaji Nishati kwenye uwiano sahihi / Energy in balance level

( WATER PROPERTY ENERGY & FIRE PROPERTY ENERGY)

Ikitokea nishati hizi haziko kwenye uwiano sahihi kwenye Mfumo wa moyo , Husababisha matatizo mbalimbali , Hivyo sisi wataalamu tunaangalia dalili mwili unaonesha ili kujua ni nishati gani inasababisha tatizo hilo !

Unapoona dalili hizi kwenye Mfumo wa Moyo :
1. Palpitation / Arrhythmia/ Chest pain / Chest Oppression/ Short of breath:

[emoji117] Fire energy low ( HS )
Dalili huambatana na Chest Oppression, Short of breath, Cold feet , legs, waist,chest, pale face , Slight red tongue and white coating etc

TIBA :
Replenish HS fire energy & Improve Circulation of the body for quicker recovery

[emoji117] HS Water Energy low
Symptoms combine with Insomnia/ kukosa usingizi , Dreamful / kuweweseka , hot flashes / Ndani ya mwili unasikia Moto lakini mwili ni kawaida , Dry mouth, sweating during sleep, Sore pain on waist , too much red tongue etc

TIBA :
Replenish HS water energy and Clear Hot toxin in blood to improve palpitation
( kuna dawa tutakupa tofauti )

[emoji117] Blood Stuck or Blockage / Damu imeganda au Uvimbe kwenye Mfumo wa Moyo / Moyo kutanuka

Dalili huambatana na Chest Pain , purple dots on tongue etc

TIBA
Break blood stuck or blockage in heart & Small intestine system, to make blood flow and blood circulation well in the body and improve Palpitation
( Tutakupa dawa ya plan hiyo ya matibabu )

Nakadhalika

So uchunguzi wa kiafya ni lazima sana kabla ya kutoa dawa ( Diagnosis )

Tatizo lolote la kiafya kwetu linatibika bila kujali ukubwa wake

Wasiliana nasi
+255653048888
www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…