Dawa ya kutibu Maradhi ya Amoeba ninayo nitafute kwaWakuu wanajf naomba msaada wenu nasumbuliwa sana na amoeba tumboni nimetumia dawa za hospital naona bado.Naombeni ushauriwenu wapi ntapata dawa za asili I mean miti shamba tumbo langu any time linanguluma msaada wenu wadau.
Mkuu umejuaje ni amoeba? Ni juavyo mimi ameoba na protozoa wengine hawana ujanja mbele ya flagyl.