Msaada Nasumbuliwa sana na Amoeba tumboni

Msaada Nasumbuliwa sana na Amoeba tumboni

mcharge

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
248
Reaction score
49
Wakuu wanajf naomba msaada wenu nasumbuliwa sana na amoeba tumboni nimetumia dawa za hospital naona bado.Naombeni ushauriwenu wapi ntapata dawa za asili I mean miti shamba tumbo langu any time linanguluma msaada wenu wadau.
 
Mkuu umejuaje ni amoeba? Ni juavyo mimi ameoba na protozoa wengine hawana ujanja mbele ya flagyl.
 
Nchi yangu Tanzania mwee mbu, amoeba, ajali

0
Pole sana jitahid kuwa msafi wkt wa kula chochote
 
Wakuu wanajf naomba msaada wenu nasumbuliwa sana na amoeba tumboni nimetumia dawa za hospital naona bado.Naombeni ushauriwenu wapi ntapata dawa za asili I mean miti shamba tumbo langu any time linanguluma msaada wenu wadau.
Dawa ya kutibu Maradhi ya Amoeba ninayo nitafute kwa
Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
mazingira ya kula na namna ya kula kilasiku ni ileile,tatizo haliwez kukuondoka
 
Back
Top Bottom