music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 500
- 888
Mkuu mimi nahitaji simple tu kwa ajili ya kazi za stationery mtaani na kupita kwenye mashule na vyuo na vikundi. Hizi bei zako naona kubwa sana mimi nilikuwa napiga hesabu ya laki tatu hadi nne kwa vote...kuna printer niliwai iona sehemu ni ndogo sana inatoa passport photo pekee alafu ni kama portable fulani sema ilikuwa zamani kabla sijapata hii idea yani anaprint hakuweka kwenye PC na picha ikatoka vizuri tuPrinter tafuta za Epson andaa kama laki 4 au 6 hapa
Camera tafuta za Sony laki 8 inakuhusu
Za bei ya chini ya hapo zipo pia mkuuMkuu mimi nahitaji simple tu kwa ajili ya kazi za stationery mtaani na kupita kwenye mashule na vyuo na vikundi. Hizi bei zako naona kubwa sana mimi nilikuwa napiga hesabu ya laki tatu hadi nne kwa vote...kuna printer niliwai iona sehemu ni ndogo sana inatoa passport photo pekee alafu ni kama portable fulani sema ilikuwa zamani kabla sijapata hii idea yani anaprint hakuweka kwenye PC na picha ikatoka vizuri tu
Kwa acha kukariri hili neno dk3Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3.
Hapo kwenye camera parefu zipo za za 250 kumbuka anahitaji compact sio DSLR.Printer tafuta za Epson andaa kama laki 4 au 6 hapa
Camera tafuta za Sony laki 8 inakuhusu
Nicheki 0713349984, mimi ni Photographer, napatikana Makumbusho Dar es SalaamWadau wa technology.
Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa.
Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport.
Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3.
Nachoitaji ni kusaidiwa jina la camera & printer (isiyoitaji computer) na bei zake nahitaji yenye bei ndogo kwa ajili ya kuweka stationery au kuzunguka nayo kuwafata wateja.
Ikiwezekana na duka naloweza kuvipata, mimi napatikana dar es salaam kwa sasa.
Natanguliza shukrani.
MM
Mkuu sio lazima iwe DSLR, kumbuka mtu anabhutaji simple tu.Bajeti muhimu, kama una simu inayopiga vizuri unaweza uka anza nayo, watu wengi tu wanatumia simu biashara hio. Pia kumbuka simu inapiga picha nzuri kuliko point and shoot camera, ni either unatumia simu ama kama unanunua Camera hakikisha ni Dslr level, ukiweka tu hio keyword jiji ama fb marketplace zitakuja.
Kuhusu printer za passport sina uzoefu nazo, ila kama printer nyengine hakikisha running cost ni ndogo, vyema pitia kwa wahusika wenyewe mtaani watakupa details zaidi ama kama kuna Anayefanya hio kazi humu atakuja.
Ndio kama huna haja ya Dslr tumia tu simu, Compact camera hazina quality compare na simu ya bei moja.Mkuu sio lazima iwe DSLR, kumbuka mtu anabhutaji simple tu.
DSLR hamfanyi photoshoot haitajinhiyo japo inafanya yote hadi passport
Yes kwa kazi yako chukua hit ninayo Kama mpya kabisa...Ila nishahama kwenye hio technology...kwa kutembea inafaa haina wino kumwagika Wala Nini ku print mwisho 4*6Hiti itakufaa sana tena ina kiscreen cha kueditia picha hapohapo.
View attachment 3373770
Mkuu mbona DSRL ni za kiwango cha juu sana, hizo ni za professional photographers na bei yake iko juu. Inaonekana bajeti yake ni ndogo. Kama hawezi kutumia simu basi anunue digital cameras za casual photographers mfano za Nikon, Canon Sony, nk.Bajeti muhimu, kama una simu inayopiga vizuri unaweza uka anza nayo, watu wengi tu wanatumia simu biashara hio. Pia kumbuka simu inapiga picha nzuri kuliko point and shoot camera, ni either unatumia simu ama kama unanunua Camera hakikisha ni Dslr level, ukiweka tu hio keyword jiji ama fb marketplace zitakuja.
Kuhusu printer za passport sina uzoefu nazo, ila kama printer nyengine hakikisha running cost ni ndogo, vyema pitia kwa wahusika wenyewe mtaani watakupa details zaidi ama kama kuna Anayefanya hio kazi humu atakuja.
My point asinunue Digital camera za kawaida yaani point and shoot zimezidiwa quality na simu tayari, either unanunua simu ama unanunua Dslr.Mkuu mbona DSRL ni za kiwango cha juu sana, hizo ni za professional photographers na bei yake iko juu. Inaonekana bajeti yake ni ndogo. Kama hawezi kutumia simu basi anunue digital cameras za casual photographers mfano za Nikon, Canon Sony, nk.
Cartridge yake kila baada ya picha 50 unabadilisha,ila ingekuwa inatoa 5× 7 ingekuwa safi sanaYes kwa kazi yako chukua hit ninayo Kama mpya kabisa...Ila nishahama kwenye hio technology...kwa kutembea inafaa haina wino kumwagika Wala Nini ku print mwisho 4*6
Hapo chaguo ni simu tu. DSLR kwa picha za passport tu is a waste of money.My point asinunue Digital camera za kawaida yaani point and shoot zimezidiwa quality na simu tayari, either unanunua simu ama unanunua Dslr.
Sawa mkubwa wa kazi.Nicheki 0713349984, mimi ni Photographer, napatikana Makumbusho Dar es Salaam