Msaada: Natafuta kazi, yeyote atakayenisaidia nitashukuru sana

Gyme

New Member
Joined
Mar 1, 2023
Posts
4
Reaction score
16
Habari ndugu zangu, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24. Ninaomba msaada wenu kama kuna mtu yeyote anaweza kunisaidia nikapata kazi.

Elimu yangu kidato cha sita japo chuo nimesoma Ila niliishia mwaka wa pili.

Msahada wenu jamani, kwa yoyote mwenye connection maisha ni kusaidiana please!

Napatikana Dar es Salaam


NB: Niko tayari kwa kazi yoyote ambayo inampendeza Mungu, ahsanteni.
 

Kuwa Makini na MAFATAKI wasije kukurubuni wakakupa "NGOMA" wakasepa kwa ujanja wa kukupa kazi.

Epuka mtoa connection atakayeingiza mambo ya Mapenzi ,ukiona hivyo hapo Kimbia.
 
Kuwa Makini na MAFATAKI wasije kukurubuni wakakupa "NGOMA" wakasepa kwa ujanja wa kukupa kazi.

Epuka mtoa connection atakayeingiza mambo ya Mapenzi ,ukiona hivyo hapo Kimbia.
Asanteeee sana kwa ushaur ndugu yangu
 
Mbona una expose sana mawasiliano y'all? Utaangukia pabaya na watu watakaoitumia shida yako kumaliza haha zoo. Ingia zoomtanzania.co.tz kuna kazi huwa zinatangazwa kule
 
Kawe winga kkoo, umri wako safi sana. Kapambane kabla hujajua sana starehe. Paka ufike 28 ww ni kamilionea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…