Mstaarabu wa ukwee
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 212
- 140
,
Habari ndugu,
Nimehitimu chuo cha usafirishaji NIT Miaka 2 iliyopita. Nina uzoefu wa kazi kwa zaid ya mwaka mmoja.
Nimewahi fanya kazi ya mkataba kampuni ya wachina mwaka 1 na nilikuwa na control magar yao kwa vifaa maalum.
Lkn pia nimewahi kujitolea halmashauri flani kitengo hicho hicho cha usafirishaji.
Kwa sasa nipo Mwanza mjini natafuta kibarua chochote sio lazima cha fani yangu ili mradi niweze kujikimu hapa mjini.
Asanteni na natanguliza shukrani za dhati.
Hata nikipata sehemu ya kujitolea nitashukuru pia.
Note: Utani ruksa maana hata nikiwakataza wapo wataoleta kejeli
Boda boda unaweza ukaifanya kweli mana umesema kuwa kazi yoyoteAsante..nimesomea Logistics and transport Management Diploma.
Namba yangu ya simu ni 0629325400
Asante sana kwa kujali mkuu ila bodaboda siwezi kuendeshaBoda boda unaweza ukaifanya kweli mana umesema kuwa kazi yoyote
Habari ndugu,
Nimehitimu chuo cha usafirishaji NIT Miaka 2 iliyopita. Nina uzoefu wa kazi kwa zaid ya mwaka mmoja.
Nimewahi fanya kazi ya mkataba kampuni ya wachina mwaka 1 na nilikuwa na control magar yao kwa vifaa maalum.
Lkn pia nimewahi kujitolea halmashauri flani kitengo hicho hicho cha usafirishaji.
Kwa sasa nipo Mwanza mjini natafuta kibarua chochote sio lazima cha fani yangu ili mradi niweze kujikimu hapa mjini.
Asanteni na natanguliza shukrani za dhati.
Hata nikipata sehemu ya kujitolea nitashukuru pia.
Note: Utani ruksa maana hata nikiwakataza wapo wataoleta kejeli
Fake life tu humu😂😂Hahaa jamii forums kiboko..
Kuna jukwaa nimekuona unajitapa upo kazini tena kazi nono...