Msaada natafuta kazi

Msaada natafuta kazi

Jicholamwewe

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2021
Posts
375
Reaction score
465
Wakuu habari? Nahitaji msaada wa kazi.yeyote anayefaham kazi ilipo naomba aniambie.Nina ujuzi wa laboratory ,QC pia kazi yoyote nitafanya.hapo chini ni part ya CV yangu pamoja na certificate training .asanteni sana
Screenshot_20240107-151506.png
Screenshot_20240107-153315.png
 
Wakuu habari? Nahitaji msaada wa kazi.yeyote anayefaham kazi ilipo naomba aniambie.Nina ujuzi wa laboratory ,QC pia kazi yoyote nitafanya.hapo chini ni part ya CV yangu pamoja na certificate training .asanteni sanaView attachment 2864567View attachment 2864568
Ushauri wa bure, andaa vizuri hiyo CV vizuri, weka taarifa kamili taarifa zako binafsi, historia ya elimu zako nyuma,, weka resposibilities zako, an finally check for grammar and corrections.
 
Back
Top Bottom