Ndugu zangu bila shaka wengi mwafahamu niko kwenye msako wa kutafuta mwenza na nilishatoa sifa naona watu wamegoma kunisaidia.
Sasa nimefanikiwa kupata kademu kamoja MATATA SANA! Shida huyo ni mtoto mwenyewe nimemzidi age afu hakajavuka miaka yetu ile ya kujiachia. Naomba ushauri wenu niendelee nacho au nikapotezee....Bado sijakala na kameniambia hakajawahi kuguswa.
Angalizo: Naomba ushauri tu msije kuanza uanaharakati wenu kwenye hii thread...chondechonde moderator nilinde katika hili.
AHSANTE
sasa ndio ushapata mke wa ndoa kabisa ama wataka kula na kuruka?????????????????????????????
Kako sixteen mwana....daah.
Kako sixteen mwana....daah.
Kako sixteen mwana....daah.
Kama huyo binti ni under age basi kaa naye mbali kabisa wala usiwe na mawasiliano naye ya aina yoyote ile labda kama umechoka maisha ya mtaani na sasa unataka kwenda kuozea Keko.
Usimuharibie maisha binti wa watu kwa ukware wako. Binti ndiyo kwanza yuko Form Two kama anaenda shule na wewe baba mtu mzima badala ya kwenda kutafuta wanawake wa rika lako unataka kumharibu binti wa watu! Mtu mzima hovyooooo!
Hivyo bongo kuna under age? Watoto wengi vijijini wanaolewa wakiwa na umri wa miaka 13-18.
Kako sixteen mwana....daah.
Kama yupo 16 msisitize asome, na umwambie huwezi kumuoa kwa sasa. Kama kweli unampenda msubiri hadi hapo atakapomaliza elimu yake.
sasa wewe 26 years una haraka gani ya kutaka kuoa mpaka utangaze huku? mimi nilidhani emergency! wewe pia underage, kua kwanza maana nina wasi wasi wewe ndo utakatoroka kabinti ka watu.
endelea na hao wa kurushana nao roho, muda ukifika utajua umuoe nani, ukishindwa ndo uje uombe ushauri