Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magazine! halafu target ni wanawake kudadadeki utawa ufoo je?
labda sijaeleweka.nimemaanisha magazine= gazeti
Magazine:a building designed to store the explosive gunpowder in wooden barrels for safety.
magazine ni jarida, gazeti ni newspaper. Kuna tofauti kati ya magazine na gazeti, but anyway nenda ofisi za idara ya habari maelezo utapewa utaratibu kamili. Gharama ya kusajili gazeti au magazine ni shilingi laki tano.
Utaratibu kamili upo hivi :
1. Unaandika barua ya maombi ya usajili wa gazeti/jarida kwa msajili, idara ya habari maelezo.
2. Viambatanisho ;
i. Jina la biashara ( sole proprietorship ) au jina la kampuni kama una miliki kampunu, pamoja na certificate ya usajili wa jina la biashara au kampuni kutoka brela.
Iii. Utapendekeza majina kuanzia matatu ambayo utapenda gazeti/jarida lako liitwe
iv. Taarifa za akaunti yako ya benki zinazo onyesha kuwa una uwezo wa kutoa mfululizo wa matoleo kumi ya gazeti lako bila kutegemea chanzo kingine cha mapato .
N.b: Kuhusu taarifa za akaunti usiogope sana, unaweza kueleza kuwa utakuwa unatoa labda nakala mia kwa wiki some thing which means that akaunti yako inaweza ikawa hata na sh laki mbili na bado ukawa na uwezo wa kusajili gazeti lako.. Hope maelezo yangu yatakuwa na msaada kwako. God bless u
Magazine ni jarida, gazeti ni newspaper. Kuna tofauti kati ya magazine na gazeti, but anyway nenda ofisi za IDARA YA HABARI MAELEZO utapewa utaratibu kamili. Gharama ya kusajili gazeti au magazine ni shilingi LAKI TANO.
UTARATIBU KAMILI UPO HIVI :
1. Unaandika barua ya maombi ya usajili wa gazeti/jarida kwa MSAJILI, IDARA YA HABARI MAELEZO.
2. Viambatanisho ;
i. Jina la biashara ( Sole Proprietorship ) au jina la kampuni kama una miliki kampunu, pamoja na certificate ya usajili wa jina la biashara au kampuni kutoka BRELA.
iii. Utapendekeza majina kuanzia matatu ambayo utapenda gazeti/jarida lako liitwe
iv. Taarifa za akaunti yako ya benki zinazo onyesha kuwa una uwezo wa kutoa mfululizo wa matoleo kumi ya gazeti lako bila kutegemea chanzo kingine cha mapato .
N.B: Kuhusu taarifa za akaunti usiogope sana, unaweza kueleza kuwa utakuwa unatoa labda nakala mia kwa wiki some thing which means that akaunti yako inaweza ikawa hata na sh laki mbili na bado ukawa na uwezo wa kusajili gazeti lako.. Hope maelezo yangu yatakuwa na msaada kwako. God Bless U
Plus its too long
Mwanzo umeanza vizuri na kueleweka kwa kiswahili.
uli Copy na ku paste kizungu ndio umevuruga watu kabisaaa.ndio maana watu wanitizama na kupotea
Hatuachi ng'oooooo.watanzania acheni uvivu wa kusoma mbona habari za mafumanizi ata zikiwa ndefu nikiweka mnasoma habari nzima?
mlitaka habari nusu nusu. mkuu ameeleza kwa kirefu ili muelewe zaidi.
kwa mtu aliozoe kusoma hiyo si habari ndefu achen uvivu
Wana JF, Namwomba aliye na ufahamu,utayari anisaidie katika hatua zote zinazohitajika kuanzisha Magazine ya kila mwezi.Tatizo langu ni sifahamu hatua hizo. Tuwasiliane..0765410726.
Nenda Idara ya Habari Maelezo utapewa maelekezo