Msaada: Nataka kuanzisha magazine

Msaada: Nataka kuanzisha magazine

noella

Senior Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
101
Reaction score
50
Nimekuwa na wazo la kuanzisha magazine na target market ni wanawake.

naomba ushauri natakiwa nifanye nini kuanzisha magazine. Je,kuna pahala pa kuregister or how to go about it?

Nasubiri michango yenu yenye busara.

Noella!
 
Magazine:a building designed to store the explosive gunpowder in wooden barrels for safety.
 
labda sijaeleweka.nimemaanisha magazine= gazeti

Magazine ni jarida, gazeti ni newspaper. Kuna tofauti kati ya magazine na gazeti, but anyway nenda ofisi za IDARA YA HABARI MAELEZO utapewa utaratibu kamili. Gharama ya kusajili gazeti au magazine ni shilingi LAKI TANO.

UTARATIBU KAMILI UPO HIVI :

1. Unaandika barua ya maombi ya usajili wa gazeti/jarida kwa MSAJILI, IDARA YA HABARI MAELEZO.
2. Viambatanisho ;
i. Jina la biashara ( Sole Proprietorship ) au jina la kampuni kama una miliki kampunu, pamoja na certificate ya usajili wa jina la biashara au kampuni kutoka BRELA.

iii. Utapendekeza majina kuanzia matatu ambayo utapenda gazeti/jarida lako liitwe

iv. Taarifa za akaunti yako ya benki zinazo onyesha kuwa una uwezo wa kutoa mfululizo wa matoleo kumi ya gazeti lako bila kutegemea chanzo kingine cha mapato .

N.B: Kuhusu taarifa za akaunti usiogope sana, unaweza kueleza kuwa utakuwa unatoa labda nakala mia kwa wiki some thing which means that akaunti yako inaweza ikawa hata na sh laki mbili na bado ukawa na uwezo wa kusajili gazeti lako.. Hope maelezo yangu yatakuwa na msaada kwako. God Bless U
 
magazine ni jarida, gazeti ni newspaper. Kuna tofauti kati ya magazine na gazeti, but anyway nenda ofisi za idara ya habari maelezo utapewa utaratibu kamili. Gharama ya kusajili gazeti au magazine ni shilingi laki tano.

Utaratibu kamili upo hivi :

1. Unaandika barua ya maombi ya usajili wa gazeti/jarida kwa msajili, idara ya habari maelezo.
2. Viambatanisho ;
i. Jina la biashara ( sole proprietorship ) au jina la kampuni kama una miliki kampunu, pamoja na certificate ya usajili wa jina la biashara au kampuni kutoka brela.

Iii. Utapendekeza majina kuanzia matatu ambayo utapenda gazeti/jarida lako liitwe

iv. Taarifa za akaunti yako ya benki zinazo onyesha kuwa una uwezo wa kutoa mfululizo wa matoleo kumi ya gazeti lako bila kutegemea chanzo kingine cha mapato .

N.b: Kuhusu taarifa za akaunti usiogope sana, unaweza kueleza kuwa utakuwa unatoa labda nakala mia kwa wiki some thing which means that akaunti yako inaweza ikawa hata na sh laki mbili na bado ukawa na uwezo wa kusajili gazeti lako.. Hope maelezo yangu yatakuwa na msaada kwako. God bless u

mimi nimeshawahi kuwa na magazine,mkuu LIKUD ameelezea vizuri sana,sema watu wa habari maelezo wasumbufu sana sana,kuwa mvumilivu tu....pia kuna fomu utapewa maelezo utajaza,uwe na cheti cha mtu mwenye degree aliesoma uhanndishi pia usisahau kama mhariri wako....kingine jipange vizuri tu na watu wa masoko kwenye makampuni,malipo yanachelewa sana inabidi uwe na backup sehemu kama iyo hela ndo utakuwa unategemea printing...all in all...all the best
 
Last edited by a moderator:
Kuna hela pia ya kurudisha hyo fomu utakayopewa..mimi ilikuwa laki mbili na nusu 2011...
 
Magazine ni jarida, gazeti ni newspaper. Kuna tofauti kati ya magazine na gazeti, but anyway nenda ofisi za IDARA YA HABARI MAELEZO utapewa utaratibu kamili. Gharama ya kusajili gazeti au magazine ni shilingi LAKI TANO.

UTARATIBU KAMILI UPO HIVI :

1. Unaandika barua ya maombi ya usajili wa gazeti/jarida kwa MSAJILI, IDARA YA HABARI MAELEZO.
2. Viambatanisho ;
i. Jina la biashara ( Sole Proprietorship ) au jina la kampuni kama una miliki kampunu, pamoja na certificate ya usajili wa jina la biashara au kampuni kutoka BRELA.

iii. Utapendekeza majina kuanzia matatu ambayo utapenda gazeti/jarida lako liitwe

iv. Taarifa za akaunti yako ya benki zinazo onyesha kuwa una uwezo wa kutoa mfululizo wa matoleo kumi ya gazeti lako bila kutegemea chanzo kingine cha mapato .

N.B: Kuhusu taarifa za akaunti usiogope sana, unaweza kueleza kuwa utakuwa unatoa labda nakala mia kwa wiki some thing which means that akaunti yako inaweza ikawa hata na sh laki mbili na bado ukawa na uwezo wa kusajili gazeti lako.. Hope maelezo yangu yatakuwa na msaada kwako. God Bless U

Asante, LIKUD,

mie nahitaji magazine=jarida ambalo nategemea liwe linatoka mara moja kwa mwezi.

Asante sana ngoja nifwate maelekezo yako nianze kazi.😛oa
 
Za jioni ndugu zangu
Je umekuwa na ndoto za kuanzisha magazine ya kiwango cha juu?

Watu wengi sana wameniuliza juu ya faida na hasara za kuprint magazine yenye kiwango cha juu tuchukuwe mfano wa magazine cosmopolitan ambayo watu wengi wameliona au kulisikia kwa kiwango kile au bora zaidi ya kile.Je soko letu hapa nyumbani likoje..hebu tuone huu mchanganyuo wa haraka haraka

If you have decided to start a magazine , You need to go through all the preparatory stages - from concept , defining the target audience , methods of promotion ( marketing channels ) , design, content , frequency output , you will sooner or later come to a determination of the issue of the future of the magazine format , number of pages , and the weight of the paper edition. You may also want to see your future publication in tip-top performance - with a glossy cover, because the word gloss for the magazine has become a household name as a standard for the industry.

The readership of magazines and thematic rather broad , journals are divided into male and female , children and adolescents , in the field of industry - finance , industry, insurance , banking , etc. , specialized - for members of certain professions ( for magazines lawyers, teachers , artists , etc.) or people of a certain range of interests ( for coin collectors , car enthusiasts , athletes, etc. ) Popular science magazines, corporate magazines (businesses can publish their own magazines that sanctify their work and questions distributed among the employees), advertising magazines (monthly, quarterly), as well as magazines for a wide readership .

The future success of the magazine is also largely dependent on the creative , attractive covers, relevance of the theme rooms , exceptional design and content , so the editor of your magazine and all editorial staff is still a lot of work to result exceeded expectation

Technological features of print magazines

Magazine can be printed on roll or sheet-fed printing machines. Opting for a flat or rotary -type printing , first of all , depends on the circulation . For example , to print short runs used sheet printing . Print long runs

Magazine printing is primarily characterized by the highest quality of workmanship. Impeccable print , evenness dies, bright colors with printing on color proof is provided at our disposal new printing machinery , sheet and rotary : Heidelberg Print Master B2 format ( printed sheets ), Heidelberg WEB 16 ( web printing on light-weight coated paper from 52 to 70 grams / m2 ), Minolta Bizhub PRESS C7000 - size 450 * 320mm . (Digital printing), Man Roland Uniset ( role- newspaper printing).

Many things has to be taken into consideration before starting printing for example the format of the finished product , and the main technical parameters : color , number of blocks ( pages) , the density of the paper magazine indoor units , the method binding (firmware log on 2 staples or gluing on termobindere ) , additional post- printing processes - UV varnishing , spot UV varnishing , embossing gold.

In this case, you are free to choose a different version of the format of the magazine - from B7 to A3 , select the desired option and bond circulation (bracket , binders or binder - string - for books in paperback ), choose the cover, indicating its density and more processing - a protective varnish , UV varnish or solid sample , glossy or matte lamination . Then you specify the number of pages in the calculator and paper type of indoor unit (newsprint, coated (LWC) or offset). If the magazine includes multiple indoor units - one of which is coated paper, and the other, say, offset - you point it accordingly by adding a new unit ( Add a block) and specify the number of pages and the type of paper. Tech pages for indoor units - a multiple of 8. This can be 8, 16, 24 , 32, 48, 64 , et
Main features of the magazine



- Usually the format of the magazine , from B7 to A3 ;
- Color : full color printing / 4 4 / plus Pantone / 5 5 / except the indoor unit on newsprint and LWC paper, where the maximum brilliance / 4 4 / ;
- Mount the magazine: 2 staples (no more than 128 pages) , by gluing Binder (magazines with the number of pages from 48 and above);
- The cover paper : coated , offset , cardboard, cardboard design , density of cover - up to 300 g/m2.
- Page cover 4 pages .
- Paper for indoor units : newsprint , coated , light-weight coated , offset , Raflatac , designer cardboard , density - from 45 g/m2 .
- Multiple pages of blocks: - for coated paper 4 pages , for newsprint, offset and light-weight coated paper : 8 pages.
- Additional processing cover : a protective varnish, UV coating (full or selective ) , lamination (glossy , matte) .

Lets take an assumption if a person wants to print 2000 copies of magazines lets say WOMEN HEALTH or MEN’S HEALTH

Format 3A
Colours 4+4 (CMYK)
Thickness of paper (115gmM2
Pages lets say 90
Paper types –newpaper 45gm/M2


Max. Format - 400 * 266
The cost of finished goods: $ 2,911
Price for 1 copy: $ 1.5/ ind
Product Weight: 360 kg

Lets see is it profitable or not

If the magazine is of the highest quality you can sell it in Tanzania for 10000Tsh because the same quality like cosmopolitan cost even more than that

10000 x 2000 copies =20000000 tsht
Lets take 1 usd=1600 tsh=12500
Remove cost of production which is 2911 usd=9589
Remove cost of transportation (lets asume 500usd)9089 usd without Tax

Let’s assume your sales to be 20000 copies out of 45 million population or 100 mill population in East africa at least you can make 80900 usd month net without tax per year you can make to 970800 usd net without Tax and other expenditure

Peroprinters can work with you to make sure you reach your Goals

Regards

Pero printers kwa mahitaji ya printing and packaging
Wasiliana nasi tutakusaidia kutimiza ndoyo zako
www.peroprinters.com
Info@peroprinters.com
 
Mwanzo umeanza vizuri na kueleweka kwa kiswahili.
uli Copy na ku paste kizungu ndio umevuruga watu kabisaaa.ndio maana watu wanitizama na kupotea
 
Plus its too long

watanzania acheni uvivu wa kusoma mbona habari za mafumanizi ata zikiwa ndefu nikiweka mnasoma habari nzima?

mlitaka habari nusu nusu. mkuu ameeleza kwa kirefu ili muelewe zaidi.

kwa mtu aliozoe kusoma hiyo si habari ndefu achen uvivu
 
Mkuu kama tatizo ni lugha basi nicheki kwa email kwa maswali zaidi basi nitajitahidi kuchanganua mahali ambapo apakueleweka..Hii article nilisha itoa siku za nyuma ila kwa sababu wenye mahitaji ni wengi basi nimeirudia tena kama ilivyo ilikuwa ni article kwenye uzi huu hapa

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...gazine-printing-how-to-start.html#post7687403

Sisi tupo kwa ajili yako ili kuhakikisha unatimiza ndoto zako



Mwanzo umeanza vizuri na kueleweka kwa kiswahili.
uli Copy na ku paste kizungu ndio umevuruga watu kabisaaa.ndio maana watu wanitizama na kupotea
 
watanzania acheni uvivu wa kusoma mbona habari za mafumanizi ata zikiwa ndefu nikiweka mnasoma habari nzima?

mlitaka habari nusu nusu. mkuu ameeleza kwa kirefu ili muelewe zaidi.

kwa mtu aliozoe kusoma hiyo si habari ndefu achen uvivu
Hatuachi ng'oooooo.
 
Wana JF, Namwomba aliye na ufahamu,utayari anisaidie katika hatua zote zinazohitajika kuanzisha Magazine ya kila mwezi.Tatizo langu ni sifahamu hatua hizo. Tuwasiliane..0765410726.
 
Wana JF, Namwomba aliye na ufahamu,utayari anisaidie katika hatua zote zinazohitajika kuanzisha Magazine ya kila mwezi.Tatizo langu ni sifahamu hatua hizo. Tuwasiliane..0765410726.

Nenda Idara ya Habari Maelezo utapewa maelekezo
 
Back
Top Bottom