Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

Ndio hata kuna baadhi ya nchi kama China 🇨🇳 nchi ķama 76 mtanzania hatakiwi viza
Ni kwl mkuu zipo nyiingi tukijijenga zaidi zitazidi kuongezeka ,ila China hapana inahitaji Visa Taifa kubwa lile mkuu
 
Oooooh ok sawa ni poa
Ni kwl mkuu zipo nyiingi tukijijenga zaidi zitazidi kuongezeka ,ila China hapana inahitaji Visa Taifa kubwa lile mkuu
Wacha nisome ni nchi gani mtanzania hahitaji viza
 
Mbona unamtisha yy tayari yuko Kenya anaishi huko. Mm namuunga mkono Tanzania tumezaliwa tu lkn ukweli c nchi ya kujivunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…