Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

bila connection na elimu inayo eleweka, Kenya sio parahisi Kama anavyo dhani.

maisha ni ya ghali na magumu kidogo, nawa jua wakenya baadhi wali toka kule kuja kwetu na wame tusua vizuri.

ali sema "what it takes you 5 years to do I'm kenya, may take you one or two years to achieve it in Tanzania"
Hiyo ya kumpenda na kutaka kusacrifice chochote kisa huyo dem ndo anazingua, mwisho wa siku lazima alie tu.
 
DOGO STUKA,YAANI MBUSUSU NDO IMEKUCHANGANYA HIVYO😄😄😄

HUYO MWANAMKE AMEKUONA WE MSHAMBA NDOMAANA ANAKUACHA UWEKEZE UKISHATIMIZA MALENGO YAKE ANAKUACHA.WEWE HUNA ATA URAIA UMENUNUA NA PLOT???

DOGO WATAKUDEPORT UTARUDI NA SHANGAZI KAJA TU ENDELEA KUPOTEZA MUDA HUKO.

SEHEMU SAHIHI ZA KUJUA NAMNA YA KUPATA URAIA NI IMMIGRATION.WEWE UNGEKUWA NA AKILI UNGERUDI BONGO ALAFU UKAENDA UBALOZI WA KENYA NDO UKAULIZIE HIZO PROCESS,ILA UKIJILOGA UKAWAULIZA HUKO HUKO WATAKUZINGUA.

HIZO PESA UNAZOPATA HUKO UNGERUDI KWENU TANGA UKAWEKEZA.ACHA UJINGA HUYO MDIGO WA MOMBASA KAKUPIGWA LIMBWATA😄😄😄AU ANAKUCHANGANYIA MIGUU🙌🙌

#KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
 
Kwaiyoo ni bora nije kuishi nao Tanzania sio
Haswaaaaaa! Halafu uwe na tahadhari katika kupenda kwako ili ikitokea siku ukaachwa au kusalitiwa usije ukajitia kitanzi au kunywa sumu kwa ajili ya mapenzi.
Ushauri huu unapewa na mwanaume mwenzio mwenye umri wa miaka 47 ambaye kaishaachana na wanawake watano ikiwa pamoja na wawili aliozaa nao watoto.
 
Back
Top Bottom