Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

Fanya chochote kwaajili yako na mwanao(ambaye ndo ndugu yako)...

Kufanya chochote kwaajili ya mwanamke unatafuta dhahma...

Kama utabaki Kenya;baki kwaajili ya mishe zako.
Wanawake wa Kikenya..., afadhali wa Kibongo..
 
Habari wanajamii. Mimi ni kijana mpambanaji mchapakazi ishu imenileta kwenu ni hii mimi nimekuja huku Kenya niko na miaka 2 sasa, kiukweli naishi poa na nimebahatika kupata msichana na tayari ni mjamzito mpaka mwezi wa 3 natarajia mtoto kutoka kwa binti wa kikenya mrembo sana my love

Sasa hilo tuliache kiukweli nampenda ananipenda sana ila shida iko mm nimeamua nikatae kabisa Tanzania niwe raia wa Kenya sitaki mtoto wangu na mke wangu siku moja niwaaache nirudi Tanzania.

Nilikuwa naomba njia rahisi ya mimi kuwa raia wa huku yaani nipate I'd niwe na haki zote kama Mkenya japo niko na NIDA ya Tanzania nimezaliwa Tanzania full sasa ninataka niwe mkenya kwa ajiri ya maslahi mapana ya mke na mwanangu.

Kiufupi nimejiwekeza maana niko na pikipiki niko na biashara ya nguo huku, pesa ya kubadili mboga napata na mke wangu ana kazi yeye ni msusi mzuri sana

Nisaidien plz sio kama naikataa Tanzania 🇹🇿 ila ninampenda huyu mwanamke kuliko chochote hata kuliko hiyo Tanzania 🇹🇿 yenyewe
Kwanini mke na mtoto wako mtarajiwa usiwalete Tanzania au umeamua kuolewa?!
Ndugu yangu nakuhakikishia dunia hii hakuna mwanamke mwaminifu kiasi cha kumpa moyo wako wote! Wanawake ni vigeugeu na wanabadilikabadilika kwa sababu zisizoeleweka kwahiyo kama umempa moyo wako wote siku moja utajilaumu.
 
Fanya chochote kwaajili yako na mwanao(ambaye ndo ndugu yako)...

Kufanya chochote kwaajili ya mwanamke unatafuta dhahma...

Kama utabaki Kenya;baki kwaajili ya mishe zako.
Wanawake wa Kikenya..., afadhali wa Kibongo..
Kwann unasema hivyooo
 
Kwanini mke na mtoto wako mtarajiwa usiwalete Tanzania au umeamua kuolewa?!
Ndugu yangu nakuhakikishia dunia hii hakuna mwanamke mwaminifu kiasi cha kumpa moyo wako wote! Wanawake ni vigeugeu na wanabadilikabadilika kwa sababu zisizoeleweka kwahiyo kama umempa moyo wako wote siku moja utajilaumu.
Kwaiyoo ni bora nije kuishi nao Tanzania sio
 
Mpaka hapo wewe ni mhamiaji haramu sasa kama unataka uraia rudi kwanza tafuta passport na mtaji then nenda kaombe kibali chakufanya kazi kenya anzia hapo
 
Mpaka hapo wewe ni mhamiaji haramu sasa kama unataka uraia rudi kwanza tafuta passport na mtaji then nenda kaombe kibali chakufanya kazi kenya anzia hapo
Sasa hapoo umeongeaa kituu cha maana sanaa ila mm kuna huyuu chifuu ni best sans yeye mdigoo anatak Nifosi majina ni apray I'd sasa hapo si nitakuwa raia mzee unaonajeee hiyoo
 
Back
Top Bottom