Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

Sasa hapo mpaka sasa huna kitu chochote,kwanza tafuta jinsi ya kuishi kiharali ndio uanze kutafuta uraia huezi ukaomba uraia wakati wewe ni mhamiaji haramu
 
Jibu ungelipata kenya
Piga simu hata kwenye NTV au KBC TV watakuelekeza vizuri tu Kama kule kwao wanahigaji watanzania😀
 
Sasa hapo mpaka sasa huna kitu chochote,kwanza tafuta jinsi ya kuishi kiharali ndio uanze kutafuta uraia huezi ukaomba uraia wakati wewe ni mhamiaji haramu
Sasa kuishi kiharali ni vip broo mm huwa natumiaa I'd ya Tanzania sasa niko haram vip yaaan
 
Habari wanajamii. Mimi ni kijana mpambanaji mchapakazi ishu imenileta kwenu ni hii mimi nimekuja huku Kenya niko na miaka 2 sasa, kiukweli naishi poa na nimebahatika kupata msichana na tayari ni mjamzito mpaka mwezi wa 3 natarajia mtoto kutoka kwa binti wa kikenya mrembo sana my love

Sasa hilo tuliache kiukweli nampenda ananipenda sana ila shida iko mm nimeamua nikatae kabisa Tanzania niwe raia wa Kenya sitaki mtoto wangu na mke wangu siku moja niwaaache nirudi Tanzania.

Nilikuwa naomba njia rahisi ya mimi kuwa raia wa huku yaani nipate I'd niwe na haki zote kama Mkenya japo niko na NIDA ya Tanzania nimezaliwa Tanzania full sasa ninataka niwe mkenya kwa ajiri ya maslahi mapana ya mke na mwanangu.

Kiufupi nimejiwekeza maana niko na pikipiki niko na biashara ya nguo huku, pesa ya kubadili mboga napata na mke wangu ana kazi yeye ni msusi mzuri sana

Nisaidien plz sio kama naikataa Tanzania 🇹🇿 ila ninampenda huyu mwanamke kuliko chochote hata kuliko hiyo Tanzania 🇹🇿 yenyewe
MK254
 
Kua na ID Ina maana huna kibali cha kuishi kenya na kufanya kazi yoyote au business hapo sasa tafuta kwanza busines permit
 
Kua na ID Ina maana huna kibali cha kuishi kenya na kufanya kazi yoyote au business hapo sasa tafuta kwanza busines permit
Hoja yakoo sasa ni nn kaka mm nafanya tuu biashara ndogo ndogo ya nguo niko na hiyoo piki piki sasa hiyoo business permit mtaji wangu haufik hata elfu 200
 
Kwa hio wewe unaona unavyofanya umefuata sheria?huruhusiwi hata mtu wa kenya kukuacha kwenye duka lake na kuuza
 
Omba uraia tu kijana, Kenyan ni ndugu zetu na jirani hata kwenye vita ya kagera walitusapoti so wee chukua uraia tulia fanya maisha
 
Back
Top Bottom