Msaada: Nataka kuishitaki nyumba ya ibada iliyo jirani na nyumba yangu

We jamaa ni comedian

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
We mshtakie Mumgu tu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

[emoji56][emoji94][emoji109]with my weather[emoji23][emoji23]
 
Suluhisho:
1.Amka ukaswali
2.Lala na earphone
3.Weka vioo nyumba yako
4.Hama huo mtaa
5.Ongea na huyo jamaa abadilishe maneno, badala ya kuweka vitisho, atumie maneno yenye mvuto. Kama vile, njoo uswali upate mafanikio, ufaulu mitihani, upate kazi, upone maradhi, swalaaa.
 
Ibada ni kwa ajili yako, usitese wengine.
Haina maana kuamka usiku saa 11 na kuanza kupiga kelele zinazoamsha wengine pengine hata hawahusiki na ibada yenu maana kila mtu ana ibada yake. Kuwasaidia toeni ibada zenu katikati ya makazi ambapo mnajikuta mnasumbua wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haahaah zile kelele za walokole za vilio usiku kucha hazikukwazi achen utani na dini za wenzenu
Wote batili na wanapaswa wajihoji namna wanasali. Mi siangalii we mkrisyo, baniani ama muislam. Wote wanatukosea na ni ujinga kuamini kila mtu afuate utakavyo.
Biblia inakataza kusali kwa kupayuka payuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukhanisi huo. Amkeni mkaswali. Unataka kumshtaki kwa faida yako mwenyeo. Kamshtaki uwone Kitakachotokea. Niko Tayari kufa na ww kwa lolote lile na liwe. Unafikiri Allah atakutizama t

Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi ya waislam mfano wewe jifunzeni ustaarabu maana hata dini sidhani inaruhusu hayo makelele ya kupayuka mtaani mpaka watu washindwe kulala. Hujalala kwangu unajuaje kama Nina mgonjwa, watoto wadogo wanaohitaji kulala n.k???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una hekima sana, pamoja na kwamba unaonekana ni islamic ujajibu kwa jazba...ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kama hutaki tabu kwenye dunia hii JIUE
 
Habari za saizi wakubwa me ni mgeni humu ndani,ila pamoja na ugeni wangu,nimeingia na jambo moja ambalo lanikera sana,nikuhusu msikiti mmoja ambao upo karibu na hapa kwangu huo ni msikiti wa wazee,lakini me naweza sema ni wazee waliyokosa ustaarabu,kwasababu kila siku usiku mida ya saa nane au saa tisa wanawasha maiki na kuanza kulazimisha watu waamke kuswali,na siyo muda huo tuu kila baada ya swala hasa swala ya alfajiri wanapiga kelele mpka saa moja kamili,sasa naombeni ushauri niende kwenye vyombo vya dola nikashtaki au nifanyeje,please naombeni ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…