Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
We jamaa ni comedianNdio kaka tunavumiliana sana kwenye haya mambo... Ila kwa wale yanayowahusu hawanaoni tatizo sio wote ila wengine hata kama hawaswali wanafikir wakikosoa watakuwa wanapata dhambi, si unajua watu tunavyoogopa vitisho vya kiimani.
Swala ni bora kuliko usingizi... Alafu sasa mara nyingi wanaosema hivyo saa hizo ni mababu, tayar walishauchapa usingizi ujanani sasa wamekuwa wazee usingizi ni wa manati, wanawaambia wengine usingizi si muhimu kuliko sala, aliyesema hivyo ni nani???
Hivi anajua kama usingizi ni afya kwa ubongo???
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app