Msaada nataka kujua matatizo au madhara yakutokula nyama

Msaada nataka kujua matatizo au madhara yakutokula nyama

usipokula nyama unakosa protini, madhara yake unakosa nguvu unakuwa legelege
kuna plant plant protin ni super kuliko animal protein, m ina unsaturated fats ambazo ni super kwa afya kuliko saturated fats za kwenye nyama, Kukosa nguvu na kuwa legelege ni ulaji usio na elimu, Ila athretes wacheza tennis na watu wengi tena wanafanya kazi ngumu na ni vegans lakini wako fiti.
 
Back
Top Bottom