mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
kuna plant plant protin ni super kuliko animal protein, m ina unsaturated fats ambazo ni super kwa afya kuliko saturated fats za kwenye nyama, Kukosa nguvu na kuwa legelege ni ulaji usio na elimu, Ila athretes wacheza tennis na watu wengi tena wanafanya kazi ngumu na ni vegans lakini wako fiti.usipokula nyama unakosa protini, madhara yake unakosa nguvu unakuwa legelege