Mfwalamanyambi
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 433
- 102
Habar jf.
Nataka kununua gari nina kiasi ya shilingi Milioni tano tu, Gari ninayoitaji iwe Corolla,Au Rav4 Old model,
Kwenu wadau.
Corolla utapata, usikatishwe tamaa na comments za JF ukaharibu malengo yako.
Mimi na million kumi tu maisha yangu niyakawaida kabisa naishi kwakutegemea mshahara wakuu.
new model ni ya kuanzia mwaka gani na hiyo 10 m ya jamaa ataiendesha au inabidi kuongeza!Toyota ist new model inakufaa sana na hasa kwenye swala la wese.
Heshima kwenu wakuu;naomba ushahuri jamani,Mimi nataka kununua gari yakutembelea je Kati ya Toyota Sienta na Toyota Wish ipi ni gari nzur kwa kitaalam,naomba msaada Mimi Sina uzoefu Wa Magar jamani.ahsante
new model ni ya kuanzia mwaka gani na hiyo 10 m ya jamaa ataiendesha au inabidi kuongeza!
mkuu sina!je?!una uelewa mzuri kwenye soko la magari?
mkuu sina!je?!
ok mkuu ngoja nijikusanye nitakutafuta one day tupeane ma ushauri!ila sitaenda beforward!lkn hujanijibu hizo new model zinaanzia mwaka gani!unapata gari hiyo kwa kuagiza au kununuwa hapahapa.
ok mkuu ngoja nijikusanye nitakutafuta one day tupeane ma ushauri!ila sitaenda beforward!lkn hujanijibu hizo new model zinaanzia mwaka gani!