Msaada: Nataka kununua gari

Msaada: Nataka kununua gari

Mimi ni dealer wa magar 5 yrs now on it, apart from my professional sikushaur ununue kwa m2 na wala uc ende showroom, ingia SBT Japan the best company, check raum ya 2005, utainunua kwa 4.8M na ushuru 4.5 M, it's a good car for u
 
Mm ni dealer wa magar 5 yrs now on it, apart from my professional sikushaur ununue kwa m2 na wala uc ende show room, ingia SBT Japan the best ever company, check raum ya 2005 , utainunua kwa 4.8M na ushuru 4.5 M, it's a good car for u

acha kukariri ni kwa nini kama kuna mtu ana gari anaipenda why asinunuwe? na show room kazi yake ni nini?
 
Mm ni dealer wa magar 5 yrs now on it, apart from my professional sikushaur ununue kwa m2 na wala uc ende show room, ingia SBT Japan the best ever company, check raum ya 2005 , utainunua kwa 4.8M na ushuru 4.5 M, it's a good car for u
Hao SBT kuna magari yao zaidi ya 800 yanauzwa na TRA kwa mnada kwa kushindwa kuyalipia ushuru mkuu atafute wengine.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
SBT walileta magar ili kutafuta wateja bongo na hatimaye kukosa wateja, SBT is the best company ever kama unahitaj gar unaagiza direct from Japan na si hayo, isitoshe mleta mada, aliomba ushaur na that was was My advice to him wala hatukariri wala kulumbana hapa
Greater thinkers, he can take it or leave it, no company in Japan compared to SBT
 
Mbona wengine mnakuwa wakali muno? Ndugu nunua gari kwa kutumia vigezo vingine mbali na bei, mfano, uwezo wako wa kuweka wese (lakini kwa milioni 10 zako inaonekana cc 1000-1500 zitakufaa). Utakuwa unaitumia kwenye barabara za aina gani? Usije ukawa unataka sienta halafu unatumia barabara mbofu sana. Unapenda sienta kwa sababu inachukua abiria wengi au? Upatikanaji wa spea je? Magari mengine ni kama albino. Mfano ukinunua spacio new model lazma wakulize japo power windows au kiyoyozi. Ungesema vigezo vyako labda watu wangekusaidia zaidi. Halafu siamini kama SBT ndo muuza magari pekee mzuri huko japan au duniani. Wako wengi tu kama be forward, magari japan n.k. Showroom na kwa watu binafsi watu wanatahadharisha maana wabongo uaminifu unaelekea kutushinda. Ukienda huko si vibaya ila nenda na mtu anayefahamu magari usije ukauziwa kimeo.
 
SBT walileta magar ili kutafuta wateja bongo na hatimaye kukosa wateja, SBT is the best company ever kama unahitaj gar unaagiza direct from Japan na si hayo, isitoshe mleta mada, aliomba ushaur na that was was My advice to him wala hatukariri wala kulumbana hapa
Greater thinkers, he can take it or leave it, no company in Japan compared to SBT

Mbona kama hai-make sense. Kama ni the best company ever ilikuwaje wakaleta magari bongo wakakosa wateja? The best company ilishindwa ilishindwa kufanya utafiti wa soko kwanza? Halafu walikosaje soko wakati wabongo na wananchi wa landlocked countries za jirani nao wanataka magari na wamefikishiwa karibu? Na unavyosema mojawapo ya uzuri wa sbt ni kuwa kama unataka gari unaagiza moja kwa moja toka japan, kwenye makampuni mengine hili haliwezekani?
 
kati ya hizo mbili fungua mlango na kufunga utakaoimba kama sufiuria jepesi achana nalo.
 
Kiuzul wishi na sienta injini moja ila bei tofauti angalia bajeti yako na bodi lipi zuli
 
mimi siyo car dealer wala siyo dalali, gari ni lazima iwe kuanzia mwaka 2005 to date.

kama upo Facebook search page hii car deals tz ni useful kwako.

new model itakua ya 2014. shape ya hii model ilianza 2007. kama unaagiza andaa tzs 19m kwa hizo za 2007-9
 
Heshima kwenu wakuu;naomba ushahuri jamani,Mimi nataka kununua gari yakutembelea je Kati ya Toyota Sienta na Toyota Wish ipi ni gari nzur kwa kitaalam,naomba msaada Mimi Sina uzoefu Wa Magar jamani.ahsante

Nimetafsiri post yako kuwa unahitaji ya matumizi ya kifamilia ndio maana umetaja gari zenye nafasi kubwa na matumizi mazuri ya mafuta.Sienta ina siti 7 lakini nadhani shida itakuwa ni spea.Hizi gari ni chache sana hapa nchini hivyo waagizaji wa spea sidhani kama watakuwa wanazileta japo inashea injini na gari nyingi za Toyota. Mimi nakushauri ununue Raum kwani zina nafasi ya kutosha,matumizi mazuri ya mafuta na shape nzuri. Ni hayo tu Mkuu.
 
Heshima kwenu wakuu;naomba ushahuri jamani,Mimi nataka kununua gari yakutembelea je Kati ya Toyota Sienta na Toyota Wish ipi ni gari nzur kwa kitaalam,naomba msaada Mimi Sina uzoefu Wa Magar jamani.ahsante
kwa haraka..........wish is the best.
nitarudi.
 
mkuu yategemea kwa shughuli ngani unaitaji?kama kwa ajili ya family na zuri kwa hali ya barabara zetu na spear zake zinapatikana kwa urais basi chukua Toyota noah model98 na kama kwa kazi ngumu za barabara za mjini na vijiji ,chukua rav 4 au kwa ajili ya fuel economical chukua vitz au passo au raum. kama,utaitaji hizi gari .tuwasiliane whatsaap 0713 95 92 90
 
Back
Top Bottom