Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
kwa hiyo nisitegemee msaada wako!haya bwana nashukuru kwa hapa umenisaidiamimi siyo car dealer wala siyo dalali, gari ni lazima iwe kuanzia mwaka 2005 to date.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo nisitegemee msaada wako!haya bwana nashukuru kwa hapa umenisaidiamimi siyo car dealer wala siyo dalali, gari ni lazima iwe kuanzia mwaka 2005 to date.
Mm ni dealer wa magar 5 yrs now on it, apart from my professional sikushaur ununue kwa m2 na wala uc ende show room, ingia SBT Japan the best ever company, check raum ya 2005 , utainunua kwa 4.8M na ushuru 4.5 M, it's a good car for u
Hao SBT kuna magari yao zaidi ya 800 yanauzwa na TRA kwa mnada kwa kushindwa kuyalipia ushuru mkuu atafute wengine.Mm ni dealer wa magar 5 yrs now on it, apart from my professional sikushaur ununue kwa m2 na wala uc ende show room, ingia SBT Japan the best ever company, check raum ya 2005 , utainunua kwa 4.8M na ushuru 4.5 M, it's a good car for u
SBT walileta magar ili kutafuta wateja bongo na hatimaye kukosa wateja, SBT is the best company ever kama unahitaj gar unaagiza direct from Japan na si hayo, isitoshe mleta mada, aliomba ushaur na that was was My advice to him wala hatukariri wala kulumbana hapa
Greater thinkers, he can take it or leave it, no company in Japan compared to SBT
mimi siyo car dealer wala siyo dalali, gari ni lazima iwe kuanzia mwaka 2005 to date.
kama upo Facebook search page hii car deals tz ni useful kwako.
Unamuita Bigirita kwani jamaa kakuambia anataka kununua bar?
Shikamoooo babuuuuuu!!!!!
Hii salamu ntipokelea Chalinze.
Hivi nlishakuambia navokumisi?
Heshima kwenu wakuu;naomba ushahuri jamani,Mimi nataka kununua gari yakutembelea je Kati ya Toyota Sienta na Toyota Wish ipi ni gari nzur kwa kitaalam,naomba msaada Mimi Sina uzoefu Wa Magar jamani.ahsante
Hujawahi kuniambia hivi unanimisigi???
kwa haraka..........wish is the best.Heshima kwenu wakuu;naomba ushahuri jamani,Mimi nataka kununua gari yakutembelea je Kati ya Toyota Sienta na Toyota Wish ipi ni gari nzur kwa kitaalam,naomba msaada Mimi Sina uzoefu Wa Magar jamani.ahsante