Msaada: Nataka kununua gari

acha kukariri ni kwa nini kama kuna mtu ana gari anaipenda why asinunuwe? na show room kazi yake ni nini?

Kamshauri kutokana na bajeti yake, 10m show room akanunue nini? Hiyo raum aliyomshauri kuiagiza nikama 9.6m lakini ukichukulia hapa inakwenda mpaka 13m.
 
Mm ni dealer wa magar 5 yrs now on it, apart from my professional sikushaur ununue kwa m2 na wala uc ende show room, ingia SBT Japan the best ever company, check raum ya 2005 , utainunua kwa 4.8M na ushuru 4.5 M, it's a good car for u

nimependa ushauri wako
 

11.5m straight from Japan
Hakuna dalali Mimi ndo mmiliki
Ni PM
 
wana jf naombeni ushauri,nigari gani yajuu nzuri isoyozidi milioni15..onayofanana na harrier ama voltz.
 
kama home kwako na kwenye mishe(ofisini) sio mbali <8km go for xtrail.
 
Hongera kwa kupata gari ya ndoto yako
 
Wadau sijawahi kumiliki gari ila sasa nimejikusanya nikapata milion 10, naomba msaada nataka kuagiza gari lakini nina wasiwasi kama kiasi hicho kitatosha hadi kutembea barabarani. Gari ninayo plan ni raum, ist na spacio.

Naomba ushauri kati ya hizi ipi naweza kuipata kwa kiasi hicho cha pesa na kama kuna aina nyngne mwaweza kunishauri.
 
Ongeza hela ifike 15m ndo uagize hizo gari ulizotaja otherwise agiza BAJAJ

Msimtishe nimeagiza gari itafika Dar tarehe 14 next month CIF 2000 USD ya mwaka 2005 means what ,,, nitalifa ushuru 2200 USd taxes.. na clearance nitalipa 250000 tzs kwa walmax clearing aget.. local charges hazizid 1m piga hesabu kwa exchange rate ya 1 usd = 1650 tzs.. Mil 10 inatosha ndugu ya ngu pesa inabaki .. wasikuvunje moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…