Msaada: Nataka kununua gari

Msaada: Nataka kununua gari

August,
Kwani uliponunua hiyo gari hawakukupa hata risiti inayoonyesha details zote za gari ikiwemo namba za chasis na injini?
Swali zuri


Humu text za muda mrefu lkn zinasaidia.

Japo sometimes tunaweza tukawa tuna reply marehem waliotangulia
 
Back
Top Bottom