fasi dwasi
R I P
- Sep 23, 2018
- 105
- 108
Jamani nimepewa dawa za TB lakini sikupimwa chochote hata kikohozi kwa sababu nilikuwa sikohoi na sijawah kukohoa ni sijapma TB, baada ya kuwa na hali mbali kwenye mfumo wa upumuaj nipo poa sasa baada ya kutumia machines na dawa.
Sasa najiuliza sina dalili za TB sikohoi kabisa nilikuwa nakohoa kidogo tu kutoka na kukosa pumzi na bila makohozi.
Sasa either nikubali kuendelea kuzitumia hata kama sina na kuna madhara yoyote ya kufanya hivyo? Au naweza kufuatilia ili nisitishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
MAONI YA WADAU:

Unaweza ukawa na shida ya ugonjwa lakini shida ya upweke ikawa kubwa zaidi kuliko ugonjwa.
Huyu kijana ni kama faraja yake alikua anaitafuta jamiiforum, huko alipokua alikosa watu wa karibu wa kushare nao anayopitia, wangekuepo wangempa faraja, wangemshauri na wangemwonyesha upendo
Pumzika kwa amani