Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula bangi mkuu acha uwoga.Pumzika kwa amani Kijana
Nje ya mada. Hivi kuvuta bangi inaweza kusababisha TB??? Au pengine magonjwa mengine ya mapafu?
Naona kijana alikua mfuasi wa tembele
Ameseme tungeweka juhudi za kumsaidia while it's too late. tatizo letu hatuna utamaduni wa kusaidia pale mtu anapopatwa na tatizo..tunasubiri madhara yatokee ndo tusononeke
Ameseme tungeweka juhudi za kumsaidia while it's too late. tatizo letu hatuna utamaduni wa kusaidia pale mtu anapopatwa na tatizo..tunasubiri madhara yatokee ndo tusononeke
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, hata mimi sikuona, ingawa pia wengi wetu huwa tunapuuzia mada kama hizi lkn ikishatangazwa amefariki tunajazana kusema r.i.p [emoji848].Je huu uzi wake wangapi waliona?kusema kweli mm sikuuona mpk leo nmeona uzi mwingine ukisema huyu mwenzetu atunae tena. Ila dunia ya leo mhonjwa kama TB ukifuatilia matibabu unapona.
Cha muhimu kukiwa na uzi kama huu tuwe tunaambiana haswa kwny zile nyuzi ambazo zinakuwa zinatrend
Ndio Mungu keshampumzisha mbele ya haki. RIP kijanamkuu nimefatilia mabandiko yako 2-3 inaonekana dawa hizi zinakusumbua sana
kama una muda fanya kwenda hosp. tena na kujieleza,hii kuanzishiwa dawa bila ya vipimo naona haijakaa sawa.
Nakuombea upate nafuu mapema na uondokane na mateso haya.
@Demi binafsi niliwasiliana na huyu member kwa PM baada ya kumuuliza yupo mji upi kwa bandiko lake la tarebe 30/12/2019.Ameseme tungeweka juhudi za kumsaidia while it's too late. tatizo letu hatuna utamaduni wa kusaidia pale mtu anapopatwa na tatizo..tunasubiri madhara yatokee ndo tusononeke
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona kama mara ya mwisho kuonekana humu ni jmos mkuu ama macho yangu yana makengeza
Vizuri sana kiongozi. Ni siku yake ilikuwa imefika. Inasikitisha sana@Demi binafsi niliwasiliana na huyu member kwa PM baada ya kumuuliza yupo mji upi kwa bandiko lake la tarebe 30/12/2019.
Kisha tarehe 31 nikamuelekeza aende hospitali ipi na anijulishe atakapofikia na kwa bahati mbaya hatukuweza kuwasiliana tena mpaka umauti unamkuta
Sent using Jamii Forums mobile app