Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah R.I.P KamandaJamani nimepewa dawa za TB lakini sikupimwa chochote hata kikohozi kwa sababu nilikuwa sikohoi na sijawah kukohoa ni sijapma TB, baada ya kuwa na hali mbali kwenye mfumo wa upumuaj nipo poa sasa baada ya kutumia machines na dawa.
Sasa najiuliza sina dalili za TB sikohoi kabisa nilikuwa nakohoa kidogo tu kutoka na kukosa pumzi na bila makohozi.
Sasa either nikubali kuendelea kuzitumia hata kama sina na kuna madhara yoyote ya kufanya hivyo? Au naweza kufuatilia ili nisitishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaid watu hawasomi post za waliotangulia ktk Uzi husika kwani maswali mengine yamejibiwa Mara nyingi sana tu..
wATU waoga wanahisi kila mtu tapeli anatafuta hela kwa njia ya uongoAmeseme tungeweka juhudi za kumsaidia while it's too late. tatizo letu hatuna utamaduni wa kusaidia pale mtu anapopatwa na tatizo..tunasubiri madhara yatokee ndo tusononeke
Sent using Jamii Forums mobile app
TRUEIsee naona Kama sisi JF tulifanya uzembe..jamaa alituwekea mpaka picha lakini nikama tulikaa kimya..sad!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ujifunze mkuu s kila jambo la kupuuza ila hata kwa kumjibu SMS za awali mkuuNasikitika sana @ mwamba aliwai nifata PM kuomba msaada wa dawa nlizo tumia kwa tatizo langu but nilimtajia majina na msg ya mwisho skumjibu najihisi kilifanya kitu kibaya japo skupenda maana Pm uwa zisifatilii kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa ujifunze mkuu s kila jambo la kupuuza ila hata kwa kumjibu SMS za awali mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app