Msaada: Nataka kusitisha dawa za TB baada ya wiki

Msaada: Nataka kusitisha dawa za TB baada ya wiki

@Demi binafsi niliwasiliana na huyu member kwa PM baada ya kumuuliza yupo mji upi kwa bandiko lake la tarebe 30/12/2019.

Kisha tarehe 31 nikamuelekeza aende hospitali ipi na anijulishe atakapofikia na kwa bahati mbaya hatukuweza kuwasiliana tena mpaka umauti unamkuta



Sent using Jamii Forums mobile app dah
Very sad
 
Kukosa pumzi na kukohoa(bila kutoa makohozi) pamoja na kifua kubana(sijui kama kifua kina kubana) ni dalili za asthma. Ukisema uache dawa me nakuunga mkno nenda hosp kwa uchunguzi zaidi.
 
Ni kweli, hata mimi sikuona, ingawa pia wengi wetu huwa tunapuuzia mada kama hizi lkn ikishatangazwa amefariki tunajazana kusema r.i.p [emoji848].
Nadhani pia kungekuwa na jukwaa la watu wenye uhitaji kuomba msaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
SAWA KABISA! Mwaka huu kama ingewezekana jamiiforums wangeongeza jukwaa la kusahidiana! Naona hii ingewafanya watu kuchukulia jambo kama hili kwa uzito wake na seriaz. (We all learned from mistake!)
 
Back
Top Bottom