denis fourplux
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 1,049
- 1,385
Mkuu ulishawah kuskia an "old TB" hiyo ndio type ya TB uliyonayo meza dawa kuepuka kuwaambukiza wenzako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahha Moderators mkoje? Mme-edit nilichopost sasa inaonekana aliyekufa ni Carlos The Jackal sidhani kama ni sahihi Invisible @mexence mello
Moderator mbona mmebadilisha nilichoandika?
Elli.Hahaahha Moderators mkoje? Mme-edit nilichopost sasa inaonekana aliyekufa ni Carlos The Jackal sidhani kama ni sahihi Invisible @mexence mello
Nadhani wangeachana na hizi mambo za editing Kaka! Hii inanitokea mara ya pili sasaElli.
Wewe ingia tu u edit hapo
Niliona juu pale
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa umenichekesha na hili swali lako
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaahha Moderators mkoje? Mme-edit nilichopost sasa inaonekana aliyekufa ni Carlos The Jackal sidhani kama ni sahihi Invisible @mexence mello
Nataka Wajue ili tupunguze haya makosa yasiendelee kujirudiarudiaIfute sio lazma uedit
Duuh! Ulifikiria ulivo andika kweli?
KashafarikiMkuu ulishawah kuskia an "old TB" hiyo ndio type ya TB uliyonayo meza dawa kuepuka kuwaambukiza wenzako
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani majuto huwa ni mjukuu hata mimi sikufanya jitihada yoyote RIP mpendwa
Very sad@Demi binafsi niliwasiliana na huyu member kwa PM baada ya kumuuliza yupo mji upi kwa bandiko lake la tarebe 30/12/2019.
Kisha tarehe 31 nikamuelekeza aende hospitali ipi na anijulishe atakapofikia na kwa bahati mbaya hatukuweza kuwasiliana tena mpaka umauti unamkuta
Sent using Jamii Forums mobile app dah
[emoji848]unamshauri marehemu?Kukosa pumzi na kukohoa(bila kutoa makohozi) pamoja na kifua kubana(sijui kama kifua kina kubana) ni dalili za asthma. Ukisema uache dawa me nakuunga mkno nenda hosp kwa uchunguzi zaidi.
SAWA KABISA! Mwaka huu kama ingewezekana jamiiforums wangeongeza jukwaa la kusahidiana! Naona hii ingewafanya watu kuchukulia jambo kama hili kwa uzito wake na seriaz. (We all learned from mistake!)Ni kweli, hata mimi sikuona, ingawa pia wengi wetu huwa tunapuuzia mada kama hizi lkn ikishatangazwa amefariki tunajazana kusema r.i.p [emoji848].
Nadhani pia kungekuwa na jukwaa la watu wenye uhitaji kuomba msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app