Msaada: Nataka kusitisha dawa za TB baada ya wiki

Sometimes huku JF mtu anaweza kuwa na ishu siriaz ila watu tunachkuliaga kila kitu .utani hivi au sio muhimu. Huyu jamaa kumbe alikuwa na matatizo siriaz ila tuliishia kumpa majibu ya hivihivi tuu mpaka ameaga dunia. RIP bro
 
R.I.P


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Shida ya humu kuna baadhi ya members wanaweka utan kwenye mambo yasio silias utakuta kaweka bandiko liko silias watu wamaanza kejeli vijembe ad mda mwingne wanatukana pasipo kujua matatizo ni ya wote leo kwangu kesho kwako ifike mahala tuache utoto
 
Iko hivi, ukiangalia last seen ya mtu kwa kutumia app ya JF mara zote itaonyesha yupo online. Ila ukitaka kujua uhalisia angalia kwa kutumia kivinjari (browser). Last seen halisi ni tangu january 4. Apumzike kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…