Msaada: Nataka kusitisha dawa za TB baada ya wiki

Msaada: Nataka kusitisha dawa za TB baada ya wiki

Sometimes huku JF mtu anaweza kuwa na ishu siriaz ila watu tunachkuliaga kila kitu .utani hivi au sio muhimu. Huyu jamaa kumbe alikuwa na matatizo siriaz ila tuliishia kumpa majibu ya hivihivi tuu mpaka ameaga dunia. RIP bro
 
Shida ya humu kuna baadhi ya members wanaweka utan kwenye mambo yasio silias utakuta kaweka bandiko liko silias watu wamaanza kejeli vijembe ad mda mwingne wanatukana pasipo kujua matatizo ni ya wote leo kwangu kesho kwako ifike mahala tuache utoto
 
Swali gani hili?Mara ngapi wewe ukiwa unaumwa Simu unawaka ndugu zako wajibie SMS ndugu jamaa na marafiki?kuna wakati ukizidiwa mpaka ATM atampa MTU.Sio ajabu Hata kidogo...Na pia huwezi jua ndugu wa karibu wanatumia no.Yake kuwajulisha watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Iko hivi, ukiangalia last seen ya mtu kwa kutumia app ya JF mara zote itaonyesha yupo online. Ila ukitaka kujua uhalisia angalia kwa kutumia kivinjari (browser). Last seen halisi ni tangu january 4. Apumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom