Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina historia cwez isahau aisee ya tatizo linaloshabihiana na lako,ila mm ilikuwa ni maumivu ya kiuno tu.kiuno cha ajabu hiki kiliwahi niuma mpaka nilihisi mwisho wa maisha yangu umefikia maana ilikuwa siwezi kukaa mpaka niegemee nyuma,sikuweza kuinama wala kubeba kitu chenye uzito wa zaidi ya kilo 1.Habari wakuu,
Nimwaka wa tano sasa nasumbuliwa na :
Maumivu makali shingoni yakiambatana na misuli ya shingoni kukaza.
Uti wa mgongo unakaza pamoja na maumivu kila siku. Siwezi kukaa kwa muda mrefu bila kuegemea sehem.
Taya za mdomo zinakaza, nikipiga mwayo huwa Nasikia Kama mifupa iliyokaza inaachia.
Kifua Kina kaza kiasi nikivuta pumzi kwa nguvu husika mifupa inaachia Kama vile ilikuwa imekaza.
Uchovu wa mwili kila siku ni sehemu ya maisha yangu.
Nimeenda Sana hospital lakini nimeishia kuandikiwa Mi antibiotics mpaka nimechoka.
Msaada nifanyenini ili niondokane na maumivu haya?
Nawasilisha.
Geogismimi etc..