Msaada: Nateseka vidonda vya tumbo

Msaada: Nateseka vidonda vya tumbo

Nenda hospital nzuri umuone daktari hasa gastroentelogist.
Upimwe.
Utapewa dawa na ushauri wa lifestyle modification.
 
Wanajamvi vidonda vya tumbo vinatesa sana aisee yaani mpaka mbavu na kifua vinabana naombeni anejua sawa anisaidie nikipona nampatia zawadi kubwa sana wadau nateseka sana yaani Sina aman Sasa hivi ni mweai mzima tangia vianze kunisumbua.
Chukua yai la kuku wa kienyeji likiwa fresh, pasua koroga kiini na ule Ute vichangamane kabisa.
Kisha chukua Pespi take away (600 ml), ya moto (siyo ya kwenye friji) mimina nusu (300 ml) changanya na lile yai ulilolikoroga, koroga hiyo Pepsi nusu na yai vichanganyike kabisa, kisha kunywa.
Rudia dozi baada ya wiki 2, na wiki 2 tena.
💯💯 Nasubiri zawadi hapa JF!
 
Kama kuna mtu ana uhakika wa dawa inayoponyesha katumie mkuu,ila ushauri wangu kama unaamini Mungu anaponya,tafutaka kanisa utaombewa,utapona na utasahau kabisa...
 
Chukua yai la kuku wa kienyeji likiwa fresh, pasua koroga kiini na ule Ute vichangamane kabisa.
Kisha chukua Pespi take away (600 ml), ya moto (siyo ya kwenye friji) mimina nusu (300 ml) changanya na lile yai ulilolikoroga, koroga hiyo Pepsi nusu na yai vichanganyike kabisa, kisha kunywa.
Rudia dozi baada ya wiki 2, na wiki 2 tena.
💯💯 Nasubiri zawadi hapa JF!

Mkuu Kimbori , tiba hii ni wewe mwenyewe umeitumia na ukathibitisha imekuponya 100%? au umesimuliwa na mtu mwingine?
 
Chukua yai la kuku wa kienyeji likiwa fresh, pasua koroga kiini na ule Ute vichangamane kabisa.
Kisha chukua Pespi take away (600 ml), ya moto (siyo ya kwenye friji) mimina nusu (300 ml) changanya na lile yai ulilolikoroga, koroga hiyo Pepsi nusu na yai vichanganyike kabisa, kisha kunywa.
Rudia dozi baada ya wiki 2, na wiki 2 tena.
💯💯 Nasubiri zawadi hapa JF!
Daaaaaah!
😂😂😂
 
Back
Top Bottom