GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Nenda hospital nzuri umuone daktari hasa gastroentelogist.
Upimwe.
Utapewa dawa na ushauri wa lifestyle modification.
Upimwe.
Utapewa dawa na ushauri wa lifestyle modification.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefanya kazi tumbi na mimi, ulimuona dokta nani..?Mkuu nilienda tumbi nikapewa Omeprazole na antacid naona haijanisaidia aisee
Simkumbuki jina aisee ila ni mwanamkeNimefanya kazi tumbi na mimi, ulimuona dokta nani..?
Chukua yai la kuku wa kienyeji likiwa fresh, pasua koroga kiini na ule Ute vichangamane kabisa.Wanajamvi vidonda vya tumbo vinatesa sana aisee yaani mpaka mbavu na kifua vinabana naombeni anejua sawa anisaidie nikipona nampatia zawadi kubwa sana wadau nateseka sana yaani Sina aman Sasa hivi ni mweai mzima tangia vianze kunisumbua.
SawaUkikosa msaada nimcheck kama upo DAR
SawaKama kuna mtu ana uhakika wa dawa inayoponyesha katumie mkuu,ila ushauri wangu kama unaamini Mungu anaponya,tafutaka kanisa utaombewa,utapona na utasahau kabisa...
Elfu 35Hiyo uliyosema inauzwa Bei gani
Mkuu vidonda vya tumbo vinapona kwa maombi?Kama kuna mtu ana uhakika wa dawa inayoponyesha katumie mkuu,ila ushauri wangu kama unaamini Mungu anaponya,tafutaka kanisa utaombewa,utapona na utasahau kabisa...
Wanasema kwa Mungu hakuna linaloshimdikanaMkuu vidonda vya tumbo vinapona kwa maombi?
Chukua yai la kuku wa kienyeji likiwa fresh, pasua koroga kiini na ule Ute vichangamane kabisa.
Kisha chukua Pespi take away (600 ml), ya moto (siyo ya kwenye friji) mimina nusu (300 ml) changanya na lile yai ulilolikoroga, koroga hiyo Pepsi nusu na yai vichanganyike kabisa, kisha kunywa.
Rudia dozi baada ya wiki 2, na wiki 2 tena.
💯💯 Nasubiri zawadi hapa JF!
Daaaaaah!Chukua yai la kuku wa kienyeji likiwa fresh, pasua koroga kiini na ule Ute vichangamane kabisa.
Kisha chukua Pespi take away (600 ml), ya moto (siyo ya kwenye friji) mimina nusu (300 ml) changanya na lile yai ulilolikoroga, koroga hiyo Pepsi nusu na yai vichanganyike kabisa, kisha kunywa.
Rudia dozi baada ya wiki 2, na wiki 2 tena.
💯💯 Nasubiri zawadi hapa JF!