MSAADA: Natoka usaha na mtambo unawasha sana, dawa yake nini?

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Nina wiki sasa natoka usaha kwenye vyumba vya kubadilishia nguo! Kuna pisi niliikuna sana wiki moja iliyopita sasa nahisi imeniachia unaa! Siyo kosa lake ni ubishi wangu, maana aliniomba sana nivae mpira nikagoma katakata! Nitumie dawa gani?
 
nina wiki sasa natoka usaha kwenye vyumba vya kubadilishia nguo! kuna pisi niliikuna sana wiki moja iliyopita sasa nahisi imeniachia unaa! sio kosa lake ni ubishi wangu maana aliniomba sana nivae mpira nikagoma katakata! nitumie dawa gani?
Gono hiloo.. Umevaa gonoo. Kaiz unayo. Wahi mapema clinic
 
nina wiki sasa natoka usaha kwenye vyumba vya kubadilishia nguo! kuna pisi niliikuna sana wiki moja iliyopita sasa nahisi imeniachia unaa! sio kosa lake ni ubishi wangu maana aliniomba sana nivae mpira nikagoma katakata! nitumie dawa gani?
AZUMA itapendeza
 
Pole mwanetu ajali kazini next time usisahau kinga, I wish you a speed recovery ukipona tuendelee kuzichakata mkuu
 
Eti kuna dawa inaitwa AZUMA ya gono unachoma sindano kwenye makalio inawasha hadi ukome[emoji23][emoji23][emoji119]
 
Kwanza acha kutomb malayaa
Pili usisahau kuvaa condom na gloves
Tatu wahi hospital mana Kuna mshikaji wangu hakwend hospital kwa mda mrefu akaanza kutoka magamba kama ya samaki...
Dah hizi pisi kali tunazipenda ila zina changamoto nyingi sana
 
Kama unajipenda huwezi hatarisha maisha yako
Mama alinambia kilichompa baba yangu maisha mazuri hakuendekeza wanawake. .
Pia mfano kwa sis tunaotegemewa na familia kubwa tunajitahidi kutunza miili yetu. Acheni ng'ono zembe. .
 
1667423340288.png
 
Nina wiki sasa natoka usaha kwenye vyumba vya kubadilishia nguo! Kuna pisi niliikuna sana wiki moja iliyopita sasa nahisi imeniachia unaa! Siyo kosa lake ni ubishi wangu, maana aliniomba sana nivae mpira nikagoma katakata! Nitumie dawa gani?
hiyo ni gonoria nenda hospitali utapona
 
Itakuwa gonoila kama alikuomba sana utumie mpira maana yake anaweza kuwa na ngoma pia
 
yani katika kitu huwa sifanyagi ubishi ni pale mwanamke akinambia tutumie condom,maana ukiziendekeza genye ni kama kucheza na moto
 
Back
Top Bottom