Msaada: Natokwa na manii (shahawa) mara kwa mara

Nilikuwa najiuliza u jinsia gani mkuu
Ushauri ni huu
Kwanza ujue kuwa mwili huwa unazitoa unapokuwa umesimamisha ww unaonaga kawaida tu lkn zile sio sperm ila ni maji ya shahawa ambayo husafisha njia kabla ya shawaha kupita kwaiyo ni kawaida humwi wala nini pia inatokana na hujafanya ngono siku nyingi nayo huwa ni sababu
 
si kwel kama unavyolopoka [emoji2] [emoji2] nmetahiliwa kabla ya hata mengneyo kupitia mwilin mwangu [emoji23] [emoji23]
Yapi yameshakupitia mwilini mwako tukiacha kutahiri
 
sawa asantee
 
Labda kwasababu huwa unafanya kazi ngumu na unakosa mda WA kugegeda.Yaan unachoka sana ikifika jion/usiku PIA huchangia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kugegeda nagegepa mpka ninayemgegeda anajiona malaika so hako kaupande nakahudumia vizur saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…