Msaada: Natokwa na manii (shahawa) mara kwa mara

Msaada: Natokwa na manii (shahawa) mara kwa mara

Nilikuwa najiuliza u jinsia gani mkuu
Ushauri ni huu
Kwanza ujue kuwa mwili huwa unazitoa unapokuwa umesimamisha ww unaonaga kawaida tu lkn zile sio sperm ila ni maji ya shahawa ambayo husafisha njia kabla ya shawaha kupita kwaiyo ni kawaida humwi wala nini pia inatokana na hujafanya ngono siku nyingi nayo huwa ni sababu
 
si kwel kama unavyolopoka [emoji2] [emoji2] nmetahiliwa kabla ya hata mengneyo kupitia mwilin mwangu [emoji23] [emoji23]
Yapi yameshakupitia mwilini mwako tukiacha kutahiri
 
Kwa majina naitwa John Hunter mtaalamu wa data&networking,natoa huduma ya
Unlimited internet
Kwa miezi 3 pasipo kikomo
_1mb/s 15,000
_4mb/s 30000.
Haina kikomo,tumia uwezavyo hata 1000GB kwa lisaa.....nione sasa.kwa wapenda video you tube bata kwaooo,wenye pc bataaa saana pakua apps za magb.

Unlimited data
Hi ni kwa mwaka 1
_1mb/s 40000.
_4mb/s 90000.
Piga sasa hivi
0621072026....kwa wanaohitaji tu.

Inatumika nchi yoyote na mtandao wowote.ipo spidi kuliko mtandao uutumiayo..
Wengi wanafurahia mtandao kwa unlimited data ,je wewe?
sawa asantee
 
Labda kwasababu huwa unafanya kazi ngumu na unakosa mda WA kugegeda.Yaan unachoka sana ikifika jion/usiku PIA huchangia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kugegeda nagegepa mpka ninayemgegeda anajiona malaika so hako kaupande nakahudumia vizur saana
 
Back
Top Bottom