Msaada: Naweza hamisha mkopo toka Baypot kuja CRDB?

Msaada: Naweza hamisha mkopo toka Baypot kuja CRDB?

Bayport, blue finance, tunakopesha ltd,finca,kwetu finance,efc,sijui nini usije kukopa hata kama una shida kubwa kiasi gani.

Tafuta mkopo benki nyingine uende kukupua huo mkopo.
 
We
Habarin Wakuu,Mim ni mtumish wa Umma,Mnamo mwez March mwaka huu nilichukua mkopo Bayport kipind hcho nilikua sjatimiza vgezo vya kwenda kopa bank na nilikua na uhitaj sana wa pesa,hvyo nikakopa baypot, na ilipofka mwez oct mwaka huu nikafanya top up kama ya kukopa tena kama laki Tisa tu, ila kwa sasa nimeshatimiza vigezo vya kwenda kukopa Crdb, nataka nihamishie mkopo huko maana naiman nitakua secured nikiwa na mkataba na CRDB, hyvo naomba kujua je Katka mazingira haya naweza enda Hamishia Mkopo wangu Crdb,?kule baypot nilikopa mil.7 na Crdb Kwa rate ya mshaharA wangu naweza kopa had mil 11.5.,natoka nifanye top up bayport sasa wamenikata huu mwez Pili sasa.

Naomba kwa mwenye uzoef na hiki Anijuze...Natanguliza Shukrani.
We mwalimu acha kukopa kopa Fanya kazi,Hamna MTU ameendelea haswa mwl ameendelea kwa kukopakopa fullstop
 
We

We mwalimu acha kukopa kopa Fanya kazi,Hamna MTU ameendelea haswa mwl ameendelea kwa kukopakopa fullstop
sijaona sehemu aliyotaja anafanya kazi gani, tatizo unasema kabla ya kufikiri. bank zipo hili zifanye nini??
unapojaribu kumpa mtu msaada wa mawazo ujaribu kufikiri kwa mapana zaidi na sio kuropoka tu.
 
We

We mwalimu acha kukopa kopa Fanya kazi,Hamna MTU ameendelea haswa mwl ameendelea kwa kukopakopa fullstop

Taifa bila waalimu umewahi kufikiria ni Tiafa la aina gani? mpe heshima mwalimu alikushika mkono wako ili uandike ~ a,6 na 8
 
Back
Top Bottom