Lussadam
JF-Expert Member
- Oct 13, 2007
- 1,341
- 907
baclays hapo sijakupata mkuu
mkono umetereza hpo, aalitaka kuandika baypot
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baclays hapo sijakupata mkuu
Bayport, blue finance, tunakopesha ltd,finca,kwetu finance,efc,sijui nini usije kukopa hata kama una shida kubwa kiasi gani.
We mwalimu acha kukopa kopa Fanya kazi,Hamna MTU ameendelea haswa mwl ameendelea kwa kukopakopa fullstopHabarin Wakuu,Mim ni mtumish wa Umma,Mnamo mwez March mwaka huu nilichukua mkopo Bayport kipind hcho nilikua sjatimiza vgezo vya kwenda kopa bank na nilikua na uhitaj sana wa pesa,hvyo nikakopa baypot, na ilipofka mwez oct mwaka huu nikafanya top up kama ya kukopa tena kama laki Tisa tu, ila kwa sasa nimeshatimiza vigezo vya kwenda kukopa Crdb, nataka nihamishie mkopo huko maana naiman nitakua secured nikiwa na mkataba na CRDB, hyvo naomba kujua je Katka mazingira haya naweza enda Hamishia Mkopo wangu Crdb,?kule baypot nilikopa mil.7 na Crdb Kwa rate ya mshaharA wangu naweza kopa had mil 11.5.,natoka nifanye top up bayport sasa wamenikata huu mwez Pili sasa.
Naomba kwa mwenye uzoef na hiki Anijuze...Natanguliza Shukrani.
if you don't recommend, then what are your suggestions??I don't recommend any one anaeanza maisha kuchkua mikopo..labda Kama unabiashara inayojiendesha
sijaona sehemu aliyotaja anafanya kazi gani, tatizo unasema kabla ya kufikiri. bank zipo hili zifanye nini??We
We mwalimu acha kukopa kopa Fanya kazi,Hamna MTU ameendelea haswa mwl ameendelea kwa kukopakopa fullstop
We
We mwalimu acha kukopa kopa Fanya kazi,Hamna MTU ameendelea haswa mwl ameendelea kwa kukopakopa fullstop
Lazima umetokea familia ya waganga wa jadiWe
We mwalimu acha kukopa kopa Fanya kazi,Hamna MTU ameendelea haswa mwl ameendelea kwa kukopakopa fullstop
Ni matapeli hao wote.Bayport, Platinum credit, finca, .........[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]