Msaada: Naweza hamisha mkopo toka Baypot kuja CRDB?

Bayport, blue finance, tunakopesha ltd,finca,kwetu finance,efc,sijui nini usije kukopa hata kama una shida kubwa kiasi gani.

Tafuta mkopo benki nyingine uende kukupua huo mkopo.
 
We
We mwalimu acha kukopa kopa Fanya kazi,Hamna MTU ameendelea haswa mwl ameendelea kwa kukopakopa fullstop
 
We

We mwalimu acha kukopa kopa Fanya kazi,Hamna MTU ameendelea haswa mwl ameendelea kwa kukopakopa fullstop
sijaona sehemu aliyotaja anafanya kazi gani, tatizo unasema kabla ya kufikiri. bank zipo hili zifanye nini??
unapojaribu kumpa mtu msaada wa mawazo ujaribu kufikiri kwa mapana zaidi na sio kuropoka tu.
 
We

We mwalimu acha kukopa kopa Fanya kazi,Hamna MTU ameendelea haswa mwl ameendelea kwa kukopakopa fullstop

Taifa bila waalimu umewahi kufikiria ni Tiafa la aina gani? mpe heshima mwalimu alikushika mkono wako ili uandike ~ a,6 na 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…