Msaada, naweza kupata ramani ya Ikulu?

Msaada, naweza kupata ramani ya Ikulu?

Pasi tulia tuli na ukipenda mwao wa kwanza na mwisho, ni heli hiyo simi u
 
Habarini wanajamvi,

Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa.

So, i want to build my own buildings that will resemble with state house, but my problem is how and where may I get a map of state house so as i can start construction.

Note: Dont confuse about cost, kwa maana naweza jenga hata kwa kutumia miti na majani(ni suala la ubunifu) tu.
Chukua noti utaona jengo la ikulu ya tz, au chukua noti ya USA utaona Picha ya jengo la ikulu ya Obama. UPO HAPO MKUU?
 
Naomba nifahamu uraia wako wa kuzaliwa, mawasiliano yako na marafiki zako. Isijekuwa umepewa donge nono na Al Qaeda uwapelekee ili wadungue "mahali Patakatifu" kama walivyofanya WTC.
 
Unatakaa hii hii ya bongo au hata uk sawa tu?????.

Halafu ya bongo muundo wake inaonekana ilikula maji mengi sana tofauti na mchanga ambao ukiwekwa katika kinu cha zege cement na chokaa huviunganisha pamoja na kufanya muonekano wa vioo kushabihiana kabisa na ile ya china katika kikao cha maaskofu(mtaguso).
 
Naomba nifahamu uraia wako wa kuzaliwa, mawasiliano yako na marafiki zako. Isijekuwa umepewa donge nono na Al Qaeda uwapelekee ili wadungue "mahali Patakatifu" kama walivyofanya WTC.
Hapana mkuu, nahitaji kwa nia njema tu.

Hata hivyo sijawahi sikia Kama ishawahi tokea State house kulipuliwa. Si kwa hizi za siku hizi wala hata kwa zile ngome za akina chief mangungo,mkwawa etc
 
Habarini wanajamvi,

Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa.

So, i want to build my own buildings that will resemble with state house, but my problem is how and where may I get a map of state house so as i can start construction.

Note: Dont confuse about cost, kwa maana naweza jenga hata kwa kutumia miti na majani(ni suala la ubunifu) tu.
Kauli na hususani za maandishi huponza! Wachana na hayo maneno yako.
 
Hii post ukijumlisha na zile kauli za ''Nyepesi'' eti watu walimjaribu ''Ticha'' mara 8,

Halafu ukaweka na ya yule wa Chuga eti 'Mungu ataichukua Roho ya mshkaji' kabla ya 2020,

Ukichanganya na maisha yasiyo na grisi basi kuna kitu chini ya kapeti.....Pengine ni muda wa watanzania kuandika historia kama za USA na ama za Bukinafaso.
 
Habarini wanajamvi,

Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa.

So, i want to build my own buildings that will resemble with state house, but my problem is how and where may I get a map of state house so as i can start construction.

Note: Dont confuse about cost, kwa maana naweza jenga hata kwa kutumia miti na majani(ni suala la ubunifu) tu.

Ndo nyie wa prison break nn, magu kakukosea nn unatak kumkaba mkuu
 
Ninadhani wewe ni confused. Unayo makundi mengine zaidi ya hayo . Tattoo ni yapi hayo?
 
Back
Top Bottom