Cheka sana mama,ukivunjika mbavu nitakupa yangu ubadilishe. Huyu Saint Ivuga asije akaleta mazoea.aseee 😀😀😀my ribs jamani...mkuu kila kheri...
Chukua noti utaona jengo la ikulu ya tz, au chukua noti ya USA utaona Picha ya jengo la ikulu ya Obama. UPO HAPO MKUU?Habarini wanajamvi,
Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa.
So, i want to build my own buildings that will resemble with state house, but my problem is how and where may I get a map of state house so as i can start construction.
Note: Dont confuse about cost, kwa maana naweza jenga hata kwa kutumia miti na majani(ni suala la ubunifu) tu.
Hapana mkuu, nahitaji kwa nia njema tu.Naomba nifahamu uraia wako wa kuzaliwa, mawasiliano yako na marafiki zako. Isijekuwa umepewa donge nono na Al Qaeda uwapelekee ili wadungue "mahali Patakatifu" kama walivyofanya WTC.
Kauli na hususani za maandishi huponza! Wachana na hayo maneno yako.Habarini wanajamvi,
Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa.
So, i want to build my own buildings that will resemble with state house, but my problem is how and where may I get a map of state house so as i can start construction.
Note: Dont confuse about cost, kwa maana naweza jenga hata kwa kutumia miti na majani(ni suala la ubunifu) tu.
Habarini wanajamvi,

Ndiyo kijana ndo best way kuliko zote unaweza kutana na JPM pia.Kweli mkuu?