Msaada, naweza kupata ramani ya Ikulu?

Attachments

  • 1477914866025.png
    130.6 KB · Views: 12
Defeat is not an option, we kubali kiroho safi kuwa ndoto hiyo ilishakufa. Fanya mambo mengine mkuu.
 
Nimesoma humu Jamii forum GETRUDE LWAKATARE amekataliwa na SERIKALI kuwalipia watu faini ili watolewe GEREZANI, Hivyo kuwa makini na POST YAKO. Utafia kukoooooooooo kijaaaaaana eeeeeeeeeee
 
Nimesoma humu Jamii forum GETRUDE LWAKATARE amekataliwa na SERIKALI kuwalipia watu faini ili watolewe GEREZANI, Hivyo kuwa makini na POST YAKO. Utafia kukoooooooooo kijaaaaaana eeeeeeeeeee
post kama hizi zinaichora vibaya idara inayoshughulika na usalama

mnajenga Picha kuwa hao watu ni wazee wa kuuana n.k

WENZETU WAMEWEKA HADI TUTORIAL ZA KIJESHI YOUTUBE ILA HAPA UNAWEZA KUHOJI MAZOEzi AU MAFUNZO YANAYOPATIKANA JESHINI IKAONEKANA LABDA UNA NIA NYINGINE ISIYO KUWA NJEMA.
 
Well said mkuu
 
Mkuu kweli kabisa ndoto yako imepotea chakukushauli rudi kitandani ukalale unaweza ukaota tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…