Msaada: Nawezaje kufungua akaunti ya UTT?

Okay Asante kwa ufafanuzi, Naskia lile gawio linaloingia kwenye account ni kwa siku za kazi tuu yan ( Monday to Friday) so kwa public holyday vp? Mfano J3 ni Eid, Means kuanzia leo Jumamosi mpaka Jumatatu, hela ya mtu ita stuck, then Jumanne ndo ile percent itaendelea kuongezeka?
Sijawahi kufatilia subiri nilifanyie Kazi nifatilie account yangu.
 
Okay utatupa feedback,

Me nnahisi mambo mawili,

Moja

Inawezekana system yao haifanyi kazi siku za w/end na public holyday lakini percent ya hizo siku inakuja kuingia siku ya week itakayofuata

Mbili

Inawezekana system yao imelenga kutoa percent kwa siku za kazi tuu yani (Mon-Fri)

Wanye uzoefu zaidi watakuja kutupa mwanga
 
Okay Asante kwa ufafanuzi, Naskia lile gawio linaloingia kwenye account ni kwa siku za kazi tuu yan ( Monday to Friday) so kwa public holyday vp? Mfano J3 ni Eid, Means kuanzia leo Jumamosi mpaka Jumatatu, hela ya mtu ita stuck, then Jumanne ndo ile percent itaendelea kuongezeka?
Ni kweli mkuu, weekend na holidays hakuna gawio, but kwa experience yangu ikiwa weekend ndefu mfano ijumaa Hadi jumanne ya week inayokuja then siku za kazi zikianza jumatano ijayo gawio huwa linaongezeka wakikuwekea, let's say huwa wanakupa elfu 1 minimum kila siku, baada ya weekend na holidays wanaweza kukupa Hadi elfu 4 kwa jumatano inayofuatia, hopefully umenielewa mkuu
 
So means ile hela ya siku tatu, mfano week hii, Saturday, Sunday & Mon (Eid) watakuja kuzitoa J4 tarehe 18 pamoja na hela ya hiyo J4 ,yani so km kwa siku ni 1000, bhas ntarajie J4 napokea 4k
 
ndo hivyo boss.. mfano mm kila siku naingiza 3000, sasa kwa siku ya kazi mfano j 4 hapo naweza kuingiziwa 12000
 
So means ile hela ya siku tatu, mfano week hii, Saturday, Sunday & Mon (Eid) watakuja kuzitoa J4 tarehe 18 pamoja na hela ya hiyo J4 ,yani so km kwa siku ni 1000, bhas ntarajie J4 napokea 4k
Weekend ni hakuna gawio kabisa, watakuja kufidia Ela ya jumatatu, so Kama huwa unapata elfu 2 tegemea Kati ya elfu 3 Hadi elfu 4, hii naongea kwa experience

Lakini pia ambacho nimekiona Kama kwa mwezi kukiwa na Holidays nyingi, unaweza kuona siku moja wameweka ela hata elfu 10 kwa siku moja, nadhani Kuna namna kipindi Cha holidays pesa ambazo wanakua hawazitolei gawio Zina accumulate hivyo wanakuja kuzitoa kwa Mara moja nyingi

Asantee
 
Watu wanataka utajiri kwenye hii mifuko aisee.

Kama unataka utajiri nenda kafanye biashara hizi mbanga hazikufanyi uwe tajiri kwa kuweka laki laki kila mwezi ila tu pesa yako inakua sehemu salama yenye risks ndogo sana.

Mtu ana 10M anaacha kwenda kuizungusha huko anaitumbukiza huku akitegemea awe anaendesha maisha kwa gawio analopata aisee hii ni akili mgando.
 
Aisee kwa hiyo biashara gani tufanye ndugu kwa mtaji wa mil 10
 
Back
Top Bottom